Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Tatizo unasikiliza watu...
Hao watu ndio wanakwambia sema hivi...nia na madhumuni yenu nikupotosha Uma na kuficha maovu kwakutetea Matumbo yenu
WEWE hizo Habari za Sandra anzisha Uzi wako.Mimi najuana na Noorah naemwongelea hapa....
Mnajadiri mje mpoteze vipi ukweli huu.....
Vaeni Utu Vueni Viatu
Kwa hiyo braza kaka, nimefatilia sana hoja zako lakini sijaelewa exactly ulikua unataka kufikisha nini kwa sisi hadhira, yaani Clouds wamlipe Noorah au Clouds wafungwe kwa ajali ya Noorah au point yako ni nini hasa hebu ongea na mimi nakusikiliza.
 
Yaani umeona comment imetaja mbuyuni kesho utasema ulikuwepo eneo la tukio...Halafu Fanya utafiti ...usipende kutumika ndugu yangu.
Mkuu, hivi mnapata faida gani kuchonganisha watu au kupotosha ukweli. Unadhani unaweza wachafua Clouds kwa stori za 2005? Ameshindwa Shigongo mtaweza nyie? endeleeni. Hakuna msanii aliyelalamika hajalipwa hela za show.

Mwenyewe alisema kwamba kuwa Muziki hauna faida kwake na Muziki kwake ni kama Starehe like mtu anavyotoka kwenda Bar kunywa beer huku akiwa sio Mlevi means siku akifeel hamu tu. ukimya wake ambao yuko nao kwamba Kwa sasa muziki hautegemei tena kwamba utakuja kumpa faida kwani ameusotea kwa muda Mrefu sana bila Mafanikio na kusema kuwa Hana time nao tena bali ana mambo mengi ya kufanya yanayomuendeshea Maisha yake na sio muziki ila ataufanya tu kama sehemu ya Starehe.

Noorah hakuna aliyemtelekeza na ajali ni kitu cha kawaida kwani alipopata nafuu na kupona niliamua kwenda kusoma Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) 2006 hadi mwaka 2010. Ulisikia analalamika? Halafu ajali yenyewe aliipata si muda wa kazi. bali alikuwa kwenye starehe zake na demu wake. Hivi unajua Fiesta imeanza lini wewe?

sema Straight Music Klimax full shangw
 
SIKUMBUKI KAMA AJALI YA NOORAH ILIKUWA NA UHUSIANO NA FIESTA

NOORAH hakupata ajali akiwa kazini alipata ajali akiwa na demu wake (sandra)

nakumbuka gari ilikuwa rav 4 huyo demu wa noorah alikuwa anasoma uganda (Kenya ndio sahihi nimesahihishwa) na alikuja tanzania bila kwao kujua

lengo lilikuwa kumuona bwana ake akiperfom sasa baada ya noorah kumaliza show yake wakawa wanarudi wote wamelewa na wako speed ulitokea ubishani

maana noorah alikuwa anataka kumrudisha yule demu kwao(oysterbay) na yule demu hataki kurudi kwao maana nyumban kwao walikuwa wanajua yupo shule Kenya

katika mabishano huku gari ikiwa speed yule demu aliisukuma gear kwenye parking

kama ujuavyo gari za zaman hazikuwa na sensor za kutema gear ya packin gari inapokuwa speed kali basi ilifanya tairi zote nne kufunga ghafla na gari ilibingirita mara nane

noorah hakufunga mkanda alitupwa nje ya gari na akapata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu alikuwa anamkumbuka huyo demu tu...

na siyo kwamba alijipeleka hospital noorah alitoka eneo la ajali akiwa hajitambui kabisa alikuja kupata fahamu akiwa hospital

alikaa sana muhimbili hadi alipokuja kupona na kuendelea na mziki pamoja na masomo (IFM)

hawa jamaa fiesta wana mapungufu yao ila sometimes mnazidisha kuwaonea
hatari sana hii
 
Mpuuzi ashaleta Wasafi huku.....
Nakwafukra zenu mtaendelea kutumika ila mwisho mtamwagwa.....
Oneni aibu kutumika kufumba ukweli uliowazi ....
SIKU yakiwasibu sijui nini mtajibu
Mkuu tupe side yako ya stori? Maana naanza kukuamini unajua mengi zaid ya haya yanayosemwa. Wenzako wamefunguka, wewe maliza Mkuu.
 
mimi na wewe nani anatumika 😂😂

wewe umecopy habari fake kutoka kwa mamluki wenzako umekuja kupaste hapa

ila ukasahau kufuta pale mwisho palipoandikwa na iddy mwanaharamu maana inaonekana huyo ndio aliandika hii habari
Huyo Iddy Mwanaharamu ni mtu ambaye uwa anaandika habari zake kutoka kwa chanzo husika kwa kufanya nacho mahojiano, ameshaandika mengi tu kuhusu wasanii ukiacha hayo mambo ya Noorah
 
Huyo Iddy Mwanaharamu ni mtu ambaye uwa anaandika habari zake kutoka kwa chanzo husika kwa kufanya nacho mahojiano, ameshaandika mengi tu kuhusu wasanii ukiacha hayo mambo ya Noorah
basi safari hii alichemsha maana hii ajali iko well known... ilipatikana barabaran tu na jamaa alikuwa yupo na private car na demu wake

sasa sioni fiesta hapo inaingiaje mkuu ndio kitu mleta mada alichoshindwa kuthibitisha maana anasema jamaa alipata ajali kazini
 
Wewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake. Mpenzi wake alikuwa anataka waende maisha club huku noorah akitaka waende nyumbani. Kilichotokea yule dada akaweka gear kwenye "P" galfa, gari walokuwa wanatumia ilikuwa auto. Wakapata ajali na akakimbizwa Muhimbili. Baada ya kuzinduka akawa anakumbuka wimbo mmoja tu wa Hawa Mademu Vipi. Akapewa mida wa kupumzika ili akili ikae sawa. Kipindi hicho alikuwa anakaa Makumbusho. Kutokana na kuumwa akahamia kule kwa Ali Maua jirani na akina Roy producer.

Kwanza umedanganya haikuwa Fiesta kipindi hicho bali ilikuwa inaitwa Straight Music Klimax full shangwe. Wadhamini waki wa sigara ya SM.

Noorah hakuwa kwenye orodha ya wasanii hata Mr Nice hakuwepo. Aliyekuwa kwenye orodha kwa upande wa bongo fleva ni Albert Mangwea ‘Cow Boy’, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’, Mr.Blue ‘Kabaizer’ Prof Jizey na maswahiba wawili AY na Mwana FA.
Usichanganye mambo, jaribu kuafatilia mambo kwa umakini kabla ya kukurupuka. Straight Music na Summer Jam/Fiesta ni vitu tofauti.
 
basi safari hii alichemsha maana hii ajali iko well known... ilipatikana barabaran tu na jamaa alikuwa yupo na private car na demu wake

sasa sioni fiesta hapo inaingiaje mkuu ndio kitu mleta mada alichoshindwa kuthibitisha maana anasema jamaa alipata ajali kazini
Hayo maelezo anayatoa kwa Noorah, basi yeye ndio anakosa kwa kumpatia maelezo ya uongo
 
Hayo maelezo anayatoa kwa Noorah, basi yeye ndio anakosa kwa kumpatia maelezo ya uongo
hapana ukumbuke habari haijaletwa direct na the so called iddy mwanaharamu...

ukute huyu aliyeleta kapindisha ukweli kwa kuedit..

noorah hawezi kuongea uongo kama huo... na kama ingekuwa hivyo basi asingepanda jukwaa la fiesta 2016 kule mkoani kwao anapokaa sasa
 
Unaweza kuthibitisha kwamba hayo maelezo kayatoa kwa Noorah?
alafu wanamuongelea iddy mwanaharamu na habari humu imeletwa na mtu mwingine....

basi kuna uwezekano mkubwa sana huyu aliyeileta humu ameedit sana

na matokeo yake anamfanya noorah aonekane wa hovyo maana watu wengi sana wanaijua ajali aliyopata noorah kwanzia chanzo hadi mahali ilipopatikania ajali
 
hapana ukumbuke habari haijaletwa direct na the so called iddy mwanaharamu...

ukute huyu aliyeleta kapindisha ukweli kwa kuedit..

noorah hawezi kuongea uongo kama huo... na kama ingekuwa hivyo basi asingepanda jukwaa la fiesta 2016 kule mkoani kwao anapokaa sasa
Hakuna alicho edit kama ni makosa basi ni ya huyo mwandishi na chanzo chake, maana mimi binafsi nilisoma andiko la muhusika mwenyewe(iddy Mwanaharamu).
 
Back
Top Bottom