1. Lamda (Mwalimu wa physics, alikua mrefu balaa)
2. Froggy ( madam alikua mnene kiasi kwamba shingo haionekani, anafanana na chura, hence froggy)
3. Samsing ( huyu alikua hawezi kutamka neno "something")
4. Akaba ( Mwalimu wa Arabic, alikua anapenda kurudia rudia story ya Aqaba enzi za mtume- waislam wanaelewa)
5. Natural gas ( huyu Mwanaume alikua na tako kubwa hakuna mfano, zaidi ya DAB [emoji3][emoji3][emoji3])
6. Sloppy (huyu alikua na chogo flani Luna slope greater that 45°) wanafunzi bwana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
7. Pastor (huyu mama alikua anapenda sana injili.. Hata akiwa anakuchapa lazima atie neno la bwana)
8. Zwangendaba ( huyu alitufindisha history of south Africa, alimsifia sana zwangendaba na dingiswayo)