Mkuu Jasusi,
Heshima mbele sana, nimewahi kuongea na mkulu mmoja aliyehudhuruia hicho kikako OAU, kule Adis ambako Nkurumah alikuwa amepania sana kuanzisha huo muungano wa Afrika na jinsi alivyokuwa akumuona Mwalimu kama ni tatizo katika hiyo ndoto yake ya kuwa rais wa kwanza wa huo muungano,
Nkurumah alifanya mambo mengi ya aibu sana kwenye hicho kikao, akijaribu kummshusha hadi Mwalimu, lakini Mwalimu hakuonyesha kuwa na wasi wasi naye wala kugombea hiyo power kama Nkurumah alivyofikiri, mkulu aliniambia kuwa katika hiyo kiu ya power Nkurumah alisafiri sana kuonana na Wareno, watawala wa Then Mozambique, katika kutafuta njia za kuiua EAA,
Anyways, ninakushukuru sana mkuu kwa kuweka habari hii sawa, kwa kweli tunakula elimu nzito sana hapa.
...The Tanzanian Army captured seven MiG-21MFs and one MiG-21U trainer from the Ugandan Air Force, as well as a considerable amount of spare parts. All of these were flown out to Mwanza AB, to enter service with the TPDF/AW...
...siri-kali!(The TPDF/AW MiG-21MFs are now confirmed to have carried serials - in black or green - underneath the cockpit, but no details about these are known)...
Hiyo picha ya Yanga ilipigwa mwanzoni mwa mwaka 1974 Yanga ilipokwenda Brazili na Simba kwenda Poland na ziliporudi zikaenda moja kwa moja Mwanza kushiriki michuano ya klabu bingwa ya Tanzania ambapo zilifanikiwa kufika fainal kwenye uwanja wa Nyamagana na Yanga kuilaza Simba 2-1 wafungaji wakiwa Sunday Manara na marehemu Gibson Sembuli.
Katika kikosi hicho cha Yanga kilichokwenda Brazil Tenga alikuwa hajajiunga na Yanga kwa sababu yeye alijiunga mwaka 1974 mwishoni akiwa pamoja na Muhaji Mukhi, Juma Matokeo, Patrick Nyaga, Juma Shabaan na Jellah Mtagwa wote wakitokea Morogoro baada ya michuano ya Taifa Cup ya mwaka huo.
Pia Sunday Manara alikwenda Austria mwanzoni mwa mwaka 1976.
Timu ya Yanga ilicheza na timu ya Enugu Rangers International mwezi May mwaka 1975 ukiwa ni mchezo wa pili wa raundi ya pili wa kombe la klabu bingwa Afrika baada ya kutoka sare ya 1-1 wiki mbili kabla huko Nigeria. Yanga ilitakiwa kutoa draw tu ya kutofungana isonge mbele lakini dakika za mwanzo tu za kipindi cha kwanza wakapigwa kimoja kilichokaa hadi mwisho wa mchezo na kuacha umati mkubwa wa watanzania ukibubujikwa na machozi. naunga mkono mchangiaji mmoja kuwa huu ulikuwa miongoni mwa michezo ya kusisimua sana iliyopatwa kuchezwa Uwanja wa taifa.
naomba kuwakilisha.
Hiyo picha ya Yanga ilipigwa mwanzoni mwa mwaka 1974 Yanga ilipokwenda Brazili na Simba kwenda Poland na ziliporudi zikaenda moja kwa moja Mwanza kushiriki michuano ya klabu bingwa ya Tanzania ambapo zilifanikiwa kufika fainal kwenye uwanja wa Nyamagana na Yanga kuilaza Simba 2-1 wafungaji wakiwa Sunday Manara na marehemu Gibson Sembuli.
Katika kikosi hicho cha Yanga kilichokwenda Brazil Tenga alikuwa hajajiunga na Yanga kwa sababu yeye alijiunga mwaka 1974 mwishoni akiwa pamoja na Muhaji Mukhi, Juma Matokeo, Patrick Nyaga, Juma Shabaan na Jellah Mtagwa wote wakitokea Morogoro baada ya michuano ya Taifa Cup ya mwaka huo. Pia Sunday Manara alikwenda Austria mwanzoni mwa mwaka 1976.
Timu ya Yanga ilicheza na timu ya Enugu Rangers International mwezi May mwaka 1975 ukiwa ni mchezo wa pili wa raundi ya pili wa kombe la klabu bingwa Afrika baada ya kutoka sare ya 1-1 wiki mbili kabla huko Nigeria. Yanga ilitakiwa kutoa draw tu ya kutofungana isonge mbele lakini dakika za mwanzo tu za kipindi cha kwanza wakapigwa kimoja kilichokaa hadi mwisho wa mchezo na kuacha umati mkubwa wa watanzania ukibubujikwa na machozi. naunga mkono mchangiaji mmoja kuwa huu ulikuwa miongoni mwa michezo ya kusisimua sana iliyopatwa kuchezwa Uwanja wa taifa.
baadaye wakaja wale ndugu Wazambia, sijui Dickson Nkwasa???
1. Kama ninakumbuka vizuri ni kwamba Yanga ilichukua wachezaji wawili toka Mlimani, nao ni Leodgar Tenga, na Edward Hizza, wote walikuwa benchi kwa sababu Tenga, alikuwa akimsaidia Hassan Gobbos, Hizza hakuweza hata kucheza mechi kubwa,
However, Yanga wakiwa wanajitayarisha kwa safari ya Brazil, Tenga na Hizza, waliitwa kwenye timu ya Mlimani, ili kuiwakilisha kwenye michezo ya Vyuo Vikuu iliyokuwa inafanyika Mexico, hivyo wote wawili wakashindwa kwenda Brazil na Yanga,
2. kwa sababu ninakumbuka vizuri sana kwamba baada tu ya mechi ya Nyamagana, ambapo Sunday na Sembuli waliifunga Simba, timu hizi ziilirudiana tena kwenye Uwanja Wa Tartan wa Zanzibar, kwenye finali ya Kombe la Ubingwa wa East and Central Afrika, ambako kwa mara nyingine tena Yanga waliishinda Simba kwa magoli mawili kwa moja, yaliyofungwa na wale wale Sunday Manara na Sembuli na this time Tenga alikuwemo ndani ya ile mechi upande wa Yanga, mechi mabayo kwa mara ya kwanza katika historia ya michezo bongo ilichezwa usiku.
Kipindi kati ya cha mechi ya Nyamagana na Zanzibar, kilikuwa ni kifupi sana kwamba Tenga ndio alijiunga na kuweza kucheza mechi kubwa namna ile, lakini I colud be wrong pia.
3. Wachezaji waliojiunga na Yanga kutokea Morogoro, baada ya kombe la Taifa, kwenye ngwe ya kwanza alikuwa ni Sembuli peke yake,
Ngwe iliyofuatia walikuwa ni kipa Patric Nyaga, Juma shaabani, Jella Mtagwa, na Juma Matokeo, Muhaji Mukhi, naamini alitokea timu ya mkoa wa Kigoma kama Makumbi Juma.
Ngwe ya mwisho ya wachezaji wa Morogoro kuingia Yanga, ilimalizwa na Ahmed Jongo na Omar Hussein. Otherwise, wakuu heshima mbele kwa historia na marekebisho, nia na madhumuni ni kuelimishana.
..Hussein Tindwa alikuwa akicheza beki namba tano.
FMES,
..Hussein Tindwa hakuwa mshambuliaji.
..nadhani Hussein Tindwa ndiye mrithi wa Omar Chogo.
..halafu Mohamed Bakari "Tall" alikuja kumrithi Tindwa[r.i.p].
..Baada ya Omar Mahadhi alifuata Athumani Mambosasa.
..sina uhakika kama Moses Mkandawile alicheza kabla au baada ya Iddi Pazi.
..nina uhakika Iddi Pazi hakucheza na Mohamed Kajole. Pazi amecheza miaka ya kina Raphael Paul, Mussa Kiwelu, na Lila Shomari.
..Halafu Willy Mwaijibe,Abdalah Mwinyimkuu, na Ezekiel Greyson "juju man," walicheza miaka ipi?
1. Kama ninakumbuka vizuri ni kwamba Yanga ilichukua wachezaji wawili toka Mlimani, nao ni Leodgar Tenga, na Edward Hizza, wote walikuwa benchi kwa sababu Tenga, alikuwa akimsaidia Hassan Gobbos, Hizza hakuweza hata kucheza mechi kubwa,
However, Yanga wakiwa wanajitayarisha kwa safari ya Brazil, Tenga na Hizza, waliitwa kwenye timu ya Mlimani, ili kuiwakilisha kwenye michezo ya Vyuo Vikuu iliyokuwa inafanyika Mexico, hivyo wote wawili wakashindwa kwenda Brazil na Yanga,
2. kwa sababu ninakumbuka vizuri sana kwamba baada tu ya mechi ya Nyamagana, ambapo Sunday na Sembuli waliifunga Simba, timu hizi ziilirudiana tena kwenye Uwanja Wa Tartan wa Zanzibar, kwenye finali ya Kombe la Ubingwa wa East and Central Afrika, ambako kwa mara nyingine tena Yanga waliishinda Simba kwa magoli mawili kwa moja, yaliyofungwa na wale wale Sunday Manara na Sembuli na this time Tenga alikuwemo ndani ya ile mechi upande wa Yanga, mechi mabayo kwa mara ya kwanza katika historia ya michezo bongo ilichezwa usiku.
Kipindi kati ya cha mechi ya Nyamagana na Zanzibar, kilikuwa ni kifupi sana kwamba Tenga ndio alijiunga na kuweza kucheza mechi kubwa namna ile, lakini I colud be wrong pia.
3. Wachezaji waliojiunga na Yanga kutokea Morogoro, baada ya kombe la Taifa, kwenye ngwe ya kwanza alikuwa ni Sembuli peke yake,
Ngwe iliyofuatia walikuwa ni kipa Patric Nyaga, Juma shaabani, Jella Mtagwa, na Juma Matokeo, Muhaji Mukhi, naamini alitokea timu ya mkoa wa Kigoma kama Makumbi Juma.
Ngwe ya mwisho ya wachezaji wa Morogoro kuingia Yanga, ilimalizwa na Ahmed Jongo na Omar Hussein. Otherwise, wakuu heshima mbele kwa historia na marekebisho, nia na madhumuni ni kuelimishana.
..Halafu Willy Mwaijibe,Abdalah Mwinyimkuu, na Ezekiel Greyson "juju man," walicheza miaka ipi?
Katika historia ya Simba, ninadhani kuwa Iddi Pazi ni wa juzi tu. Mwanzoni mwa miaka ya sabini alikuwapo mambosasa aliyedumu takriban miaka minne hivi halafu nafasi yake ikachukuliwa na Mahadhi akitokea Tanga, ambaye aliendelea hadi mwishoni mwa miaka ya sabini akifuatiwa na Mkandawile mwanzoni mwa miaka themanini ndipo akaja Pazi katikati ya miaka ya themanini.
Nilisoma na Ezekiel Greyson Primary School: alichezea Simba mwishoni mwa miaka ya sabini hadi mwanzoni mwa miaka ya themanini. Kwa mfano mwaka 1983, timu ya Simba ilikuwa na wachezaji wafuatao: Moses Mkandawile, Thobias Nkoma, Shabani Mussa, Lilla Shomari, Ezekiel Greyson "Jujuman", Ibrahim Malekano (alisoma Kazima Sec. wakati nikiwa Tabora Boys' Sec.), Nico Njohole, Zamoyoni Mogela, Malota Soma, Abdalah Mwinyimkuu, na Sunday Juma.
..Halafu Willy Mwaijibe,Abdalah Mwinyimkuu, na Ezekiel Greyson "juju man," walicheza miaka ipi?
Baada ya Picha hii ndipo upepo mkali ulipokipiga chombo, nacho kimekuwa hakiendi sawa toka wakati huo. Kimekuwa kikiyumba karibu kuvunjika. Mabaharia walipoamua kupunguza shehena yao kwa kutupa baadhi ya mizigo bharini, nao wakakubaliana kupiga kura ya kumtafuta nani aliyesababisha tatizo hili. Kura ikawaangukia mafisadi, wakawauliza mafisadi tuwafanyaje, nao wakajibu tupeleke Ukonga. Kwa mshangao wa walio wengi, Nahodha akatangaza Msamaha, Chombo kingali baharini, Upepo ni Mkali, Tunaomba msaada Rescue scuad.
sorry nasikia eti mkapa alihusika moja kwa moja na kifo chake naomba anayeyajua vizuri haya mambo anielimishe wakuu maana nasikia baada ya kufa makaburu waliangusha pati ya nguvu kule south africa na baada ya hapo mkapa akawaita Tanzania na kuwapa kila kitu bure