William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #61
Nashukuru kwa kuliweka sawa. Kama alikuwa uhamishoni, basi kesha rudi nyumbani na ninaweza kukuhakikishia kuwa huyu aliyekuwa wodini ndiye yule kapteni Nyirenda
Mwenzenu hii picha inanivutia mpaka wa leo.
field marshall,asante kwa maelekezo,kuhusu nyirenda,lakini bado nina kiu ya maelezo kuhusu hii MUTINY,it cannot be shrouded in mystery kiasi kwamba hata humu JF asiwepo mtu ambaye can quench my thirst
Mwiba,nani kakwambia kama Nyerere hakulimbikiza mali ,kama unaijua sababu ya Mkapa kufungua genge la biashala ikulu ,usingesema hayo ?
Kifo cha Nyerere kinajulikana ni ni baada ya kufa Jamal ambae ndie aliekuwa anahifazi feza ya Nyerere kwa jina lake,ghafla Jamal alipofariki Nyerere akafunga safari hadi kwa mke wa Jamali na kuulizia ela yake ,mke wa Jamali akamjibu Bana haikuacha kitu kwa jina lako ,hapo ndipo ugonjwa ulipoanza kumtambalia Mwalim na kumuondoa duniani.
Son of Alaska.field marshall,asante kwa maelekezo,kuhusu nyirenda,lakini bado nina kiu ya maelezo kuhusu hii MUTINY,it cannot be shrouded in mystery kiasi kwamba hata humu JF asiwepo mtu ambaye can quench my thirst
Mwenzenu hii picha inanivutia mpaka wa leo.
The commettee of fourteen
View attachment 2041
Ninaowajua kwenye hii picha ni Okelo, Ramadhani Haji Faki (mzee wa 1+1=3,kulia kwa Okelo waliokaa). Waliosimama Khamis Hemed Nyuni (wa kwanza kulia) Hafidh Suleiman Almasi (wa tatu kulia) Natepe (wa tano) na Bavuai ( wa sita)
Yaani huoni kama hizi picha ni nuksi tupu ,hata ukitazama kwa kina utaona haziendani na hii Jamii forum inabidi ulete tambala lile lililokuwa linatumika na zile senema za bure akina Omo na Fakcho ,si mnazikumbuka ,wakituletea filamu kwenye viwanja vya mpira.
hawa ndio waliokuwa wakihimiza siasa za ujamaa na kujitegemea ,hebu angalia Madini ya Shinyanga yalianza kuchimbwa lini ,ni wakati huo huo wa siasa zao.
Halafu mnaleta mapicha ya maiti eti tukumbuke ? hivi mkisikia kulogwa ,jamani si ndio huku ? baada ya kuzungumza mambu ya maana na maisha haya ambayo yanayokwenda na kupanda kwa kasi ya Kikwete ,mnaleta picha sasa niwaulize hivi mnafaidika na kitu gani na picha hizo wakati mpo kwenye ziki za kimaisha ? Au ndio mnajiliwaza ? Sasa kujiliwaza mngetafuta angalau mapicha mazuri yanayoburudisha moyo lakini si picha za waliotuzamisha ,mpo ?
Upinzani hauwezi kwenda mbele kwa kutazama picha za watawala au Chama cha walioko madarakani au waliokufa.
Tuna msemo wa kiswahili usemao samaki akioza mmoja ndio wameoza wote.CCM wameoza wote waliokufa na hawa waliokuwepo hai ndio usiseme ni harufu mbaya tupu.
Mwenzenu hii picha inanivutia mpaka wa leo.
Che Nkapa alikuwa hjawa fisadi hapo si mnaona yuko fit. Baada ya Ufisadi ndiyo anakaribia kuapasuka
Rev.Kishoka,
karume hawezi kuwepo kwenye picha hizo kwa sababu sio yeye wala Afro - Shiraz waliopindua nchi isipokuwa hawa wajomba ktk picha ambao walikuwa watu wa abrahaman babu na chama cha Umma party. baada ya mapinduzi tu propaganda zilipigwa kuwa hawa jama ni Makomunist na kuwa sasa Zanzibar imechukuliwa na utawala wa kidhalimu wa Kikomunist..
Jamaa walidumu muda wa mwezi mmoja tu kabla ya Nyerere kuwaingiza mkenge, akawavuta viongozi wa Umma party bara ati kuwapa security, akamfukuza Okello na kumachika Karume kama alivyofanya Uganda kumweka Bina Issa baada ya kundolewa kwa Idd Amin huku azma yake kubwa ni kumrudisha Obotte..
Kwa hiyo kulikuwa na mapinduzi ya aina mbili kwanza yale ya kuwaondoa Hizbu kisha kuwaondoa Umma Party ktk picha.