Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Hawa ni Viongozi wa Mapinduzi Zanzibar, Waliokaa katikati ni Field Marshal John Okello, Absalom Anwi Ingen, (Kushoto) na Saidi Washoto (kulia).

Waliosimama kutoka kushoto ni Insp.Edington Kisasi, Sheikh Abeid Amani Karume,
Mohamed Kaujore, Abdurahman Mohamed Babu,Hamisi Darwesh, Abdallah Mfaranyaki, Col. Abdala Saidi Natepe, Col. Seif Bakari na Kassim Hanga. Source ya majina ni kwa hisani ya mtandao wa 'Halihalisi'.
 
Pasco, hakuna Karume, Hanga wala Babu kwenye picha hiyo.

Mwenye kofia ndiye Okello, aliyekaa kushoto ni Ramadhani Haji
Waliosimama: wanne kushoto ni Jimmy Ringo (Juma Maulidi) if I am mot mistaken

Hapa wapo Absalom Ingen, Mfaranyaki, Khamis Darwesh, Kaujore, Pili Khamisi lakini siwezi kuunganisha sura zao na majina. Picha hii imetumika sana kwenye vitabu vinavoeleza historia ya mapinduzi ya Zanzibar. Hata kwenye kitabu cha Okello mwenyewe ametumia picha hii, bahati mbaya nilimuazima jamaa na hakurejesha tena
 
Kiongozi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964 alikuwa ni Field Marshal John Okello (katikati aliyekaa).

Hakuna Sheikh Karume hapo. Hakuwepo.
 
Asante sana biti mkongwe, nimeonyesha nilipoyapata majina, wewe unaonekana ndiye mkweli, mimi ni mpenzi wa dhati wa historia,
Naomba ufafanuzi hapo kwenye bold maana ni tungo tata.

1. 'Hata kwenye kitabu cha Okello mwenyewe ametumia picha hii, bahati mbaya nilimuazima jamaa na hakurejeshatena' inamaanisha Okello ametumia picha hiyo. Jee ulimuazima Jamaa Okello hakuirejesha tena?
2.'Hata kwenye kitabu cha Okello mwenyewe ametumia picha hii, bahati mbaya nilimuazima jamaa na hakurejeshatena' inamaanisha Jee ulimuazima Jamaa Kitabu cha Okello hakukirejesha tena?
3 'Hata kwenye kitabu cha Okello mwenyewe ametumia picha hii, bahati mbaya nilimuazima jamaa na hakurejeshatena' inamaanisha Okello ametumia picha hiyo. Jee unamaanisha picha hiyo ni yako, ulimuazima Okello akaitumia kwenye kitabu chake, halafu ulimuaziman jamaa mwingine, hakuirejesha tena?
 



Respect.


FMEs!
 


Dr. L. Gama RIP.


Written by LUDOVICK KAZOKA,
18th December 2009


HUNDREDS of mourners led by Zanzibar’s Chief Minister Mr Shamsi Vuai Nahodha today paid their last respect to former Intelligence Service chief, Dr Lawrence Gama at St. Gasper Roman church, Mbezi Beach area in Dar es Salaam.

In his eulogy, Mr Nahodha said that the nation had lost a valuable figure. “It is a tragedy to the nation. The late Gama served in various capacities as a leader who recorded a lot of achievements,” said Mr Nahodha.

Member of Parliament and veteran politician Mr Kingunge Ngombale-Mwiru said the late Gama played a key role in the establishment of the National Service. He was the first chief of the National Service.

“He has done great things to the nation as well as the ruling party ,” said Mr Ngombale-Mwiru. The Executive Director of Mwalimu Nyerere Foundation, Mr Joseph Butiku, said the nation has lost a hero who committed himself to building the nation.

Minister of State, President’s Office, Good Governance, Ms Sophia Simba said the late Gama was a role model in Tanzanian politics.

He was amicable and charming person. Meanwhile, the former Prime Minister, Mr Rashid Kawawa, said in a statement that Dr Gama’s death had left a wide gap. Dr Gama died at the Aga Khan Hospital in Dar es Salaam last Wednesday where he was admitted.

The body has been flown to Songea and would be laid to rest on Sunday at Amani Makolo village.


Respect.


FMEs!
 
Mama Maria Nyerere mke wa Mwalimu Nyerere na Mama Mwinyi Sitti, mke wa Rais wa zamani Mwinyi.





Mzee Songambele ndio wazee wetu wa kwanza kushiriki na Mwalimu katika kutafuta uhuru na baadaye alikuwa RC wa Dar au mkoa wa pwani, na kushoto kwake ni mtoto wa marehemu Mzee Kawawa, aliyefariki wiki iliyopita tarehe 12/31/09.


Respect.

FMEs!
 

Kwa upande wa mabenki nadhani hatutatenda haki tusipomtaja AMON
NSEKELA, mchango wake katika sector ya fedha ni wa kutukuka!!

Literature: Shaaban Robert, Saadan Kandoro, Sheikh Kaluta Amri Abeid.
 


Kweli Malecela John hakugombea uwanja wa umeme na Rostam Singida, lakini inasemekana alikula fedha yetu ya EPA toka kwa Jeetu na ndio maana harusi ilikuwa ya kukata na shoka tayari kwa urais!!!
 
President Jakaya Kikwete yesterday failed to hold back his tears as he led the nation to pay last respects to the former Prime Minister and Vice-President, Mzee Rashidi Mfaume Kawawa.


- Ni kweli kabisa hii ilikuwa ni siku ya huzuni sana kwa taifa letu, kumzika Mzee Kawawa, Simba wa Vita na Muhogo Mchungu, May God bless his soul!

Respect.


FMEs!
 
Kweli Malecela John hakugombea uwanja wa umeme na Rostam Singida, lakini inasemekana alikula fedha yetu ya EPA toka kwa Jeetu na ndio maana harusi ilikuwa ya kukata na shoka tayari kwa urais!!!

- "Lakini inasemekana" ahsante sana kwa hii Great Thinking! Mr. Great Thinker!

Respect.


FMEs!
 


Moja ya picha za mwisho mwisho wa uhai wake, marehemu Kawawa. Mungu amlaze pema peponi.

Respect.


FMEs!
 
Viongozi wa genocide iliyoua watu 20,000 Wazanzibari wenye asili ya kiarabu na kihindi.
 
- "Lakini inasemekana" ahsante sana kwa hii Great Thinking! Mr. Great Thinker!

Respect.

FMEs!

Tatizo la kuwa crony wa mtu ndio hilo, wahusika hawajakana shutuma na pengine huko mahakamani ndiko vitatolewa vielelezo kuthibitisha ulaji wa hizo pesa za EPA kwani aliyewatuhumu inasemekana anaushahidi!! At that point these will not be allegations any more!! Remember wametuhumiwa na boss wa makachero!!

POLE SANA kwa kukwazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…