Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Siku dola lilipoamua kuonyesha UBABE wake pale mwembechai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lamba,tunaomba ufafanuzi kidogo,yaani hiyo SPACE STATION,shuguli yake ilikuwa nini hasa?
Mkuu hata mimi hapa imenishitua kidogo!
hivi tujiulize .......kama mkoloni kweli alikuwa na mabaya matupu kwa zanzibar na haku invest kwenye elimu
hawa viongozi, au watu wenye umri wa miaka 60 kule zanzibar walisoma wapi, lini, kwa pesa za nani?
ukiangalia zanzibar walosoma wengi ni watu weusi, au wenye damu ya kuchanganya.....jee hawa walisoma soma vipi?
na viwango vya elimu vya wakati ule na baada ya mapinduzi , vipi vilikuwa bora?
hospitali za wakati ule na za sasa zipi zilikuwa bora? ......na watu walilipa vipi?
naomba kuuliza kwa mwenye kujua kwa uhakika .......1964 zanzibar kulikuwa na watumwa??
Sijui kama haya nayo bado yapo hapo Dar. Tulitamba nayo sana wakati wetu, na sidhani kama kweli Dar tuliwahi kuwa na usafri mzuri zaidi ya huu. je vijana wa leo mnayafahamu? tulikuwa tukiyaita kumbakumba
![]()
Huwa inatia uchungu sana kuona mambo yote mazuri tuliyokuwa nayo zamani sasa hivi ni historia. Taa za barabarani (street lights), mitaa iliyopangiliwa vizuri, barabara nzuri za mitaani, pale Chuo Kikuu Mlimani palikuwa kama peponi, wanafunzi walisoma kwa raha sana! Leo hii ukimwambia mwanafunzi wa UDSM kwamba pale Cafeteria kulikuwa na viji-fridge vinavyotoa maziwa 24/7 hatakuamini kabisa....kwani yeye hata maji ya kunywa sasa hivi ananunua!
Mara yangu ya mwisho kwenda pale, ilikuwa wakati Msekwa ni boss pale longtime ago, lakini majuzi nilipta pale bro duh siku hizi unakuatna harufu mbaya sana, pole sana kwa walioko pale sasa!
ZANZIBAR, niliyokuwa naijua mimi,ni mambo ya sultani,mapinduzi,strongman karume,karafuu,birthplace ya fred mercury etc etc.hii forum imenifungua macho sana.kumbe zanzibar kulikuwa na reli,umeme,streetlighting na even space stations enzi hizo!! tukichukua law of averages na time span ya haya mambo,ZANZIBAR,ilitakiwa iwe HONG KONG ya africa.what exactly went wrong? je kulikuwa na capital flight to the arab world? au the opportunity cost ya kuwa na nyumba nzuri,television,raba mtoni etc etc ni education which was not invested in?
Mkuu Heshima yako, kama una picha iweke hapa, kama huna basi unaweza kula historia na picha hapa, hatuna mashindano wala mandate kwenye hii thread na wala hatuna malumbano kwa sababu, tunajaribu ku-put together habari mbali mbali na kuzichambua na kumuachia mwananchi msomaji aamue mwenyewe ukweli na mapungufu ya habari, understanding kwamba wengi tulikuwa wadogo sana ki-umri na kama kawaida kwenye siasa hakuna permanent truth,
So far so good, binafsi niliyeanzisha huu mjadala nimeridhika na the goal ya kuanzisha hii thread, infact nimetumiwa ujumbe na viongozi wengi sana wa taifa wakiwa wamefurahishwa sana na hii thread kwa sababu ukweli mwingi umekuwa set straight, na hata wananchi wengi wamefurahishwa sana na hii historia na picha,
Mkuu GT, naomba tu ujiunge nasi katika kujaribu kuichambua historia yetu na picha zake, hapa hakuna mashindano wala ubingwa.
Ahsante Mkuu na Tunaendelea mbele.
ZANZIBAR, niliyokuwa naijua mimi,ni mambo ya sultani,mapinduzi,strongman karume,karafuu,birthplace ya fred mercury etc etc.hii forum imenifungua macho sana.kumbe zanzibar kulikuwa na reli,umeme,streetlighting na even space stations enzi hizo!! tukichukua law of averages na time span ya haya mambo,ZANZIBAR,ilitakiwa iwe HONG KONG ya africa.what exactly went wrong? je kulikuwa na capital flight to the arab world? au the opportunity cost ya kuwa na nyumba nzuri,television,raba mtoni etc etc ni education which was not invested in?
lamba,tunaomba ufafanuzi kidogo,yaani hiyo SPACE STATION,shuguli yake ilikuwa nini hasa?
Hapo Marekani alikuwa keshaanza vitu vyake,haikupita mda Karume akamtimua.
...Waasisi wa Mapinduzi nao walikuwa na 'darubini kali' miaka hiyo 😀About 15km east of Stone Town, near the village of Tunguu, lie the rusting remains of an American Satellite Tracking Station. This Station was built in 1960 to track and communicate with the first American manned Space Missions. It functioned first during the early 'Project Mercury' launches when Astronauts were just shot into space in a parabolic arc from Florida to the other side of Africa. It also lay along the "Earth track" of most of the later Orbital missions and thus was a vital part of the tracking and telemetry net that helped communicate with these space craft.
The station was forced to close just after the 1964 Revolution. The new revolutionary government claiming that the Telemetry towers would be used to direct missiles towards Zanzibar. The Station personnel were hurriedly evacuated while a US Navy Destroyer stood off Stone Town to ensure that the American technicians and their families were allowed to leave unmolested.
About 15km east of Stone Town, near the village of Tunguu, lie the rusting remains of an American Satellite Tracking Station. This Station was built in 1960 to track and communicate with the first American manned Space Missions. It functioned first during the early 'Project Mercury' launches when Astronauts were just shot into space in a parabolic arc from Florida to the other side of Africa. It also lay along the "Earth track" of most of the later Orbital missions and thus was a vital part of the tracking and telemetry net that helped communicate with these space craft.
The station was forced to close just after the 1964 Revolution. The new revolutionary government claiming that the Telemetry towers would be used to direct missiles towards Zanzibar. The Station personnel were hurriedly evacuated while a US Navy Destroyer stood off Stone Town to ensure that the American technicians and their families were allowed to leave unmolested.
...Waasisi wa Mapinduzi nao walikuwa na 'darubini kali' miaka hiyo 😀
...wenzao dakika yeyote mpaka sasa wanatuchungulia kwa setelaiti na kutuona kama hivi...
...afanaleik wallahi, bora FMES umeanzisha hii mada, tuangalie 'mseto' wa wanazuoni wa zamani mpaka siku hizi, ...au labda sijakuelewa, maana ya 'vichwa' lazima awe ni kiongozi wa serikali, au?...Zanzibar imewahi kutoa vichwa viwili safi navyo ni SAS na BABU vinginevyo ni viazi vitupu mtatake msitake huo ndo ukweli ingawa unauma.
...afanaleik wallahi, bora FMES umeanzisha hii mada, tuangalie 'mseto' wa wanazuoni wa zamani mpaka siku hizi, ...au labda sijakuelewa, maana ya 'vichwa' lazima awe ni kiongozi wa serikali, au?...