Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Jamaa kanikumbusha mengi sana kwa post ile inyohusu Shafi kwani nilisoma sana vitabu vyake wakti ningali mdogo.
Nimekumbuka watu kama Sheikh Amri Abeid, Sheikh Saadan Abdul Kandoro, Shaaban Robert (nilishaandika habari zake), Euphrase Kezilahabi, Faraji Hassan Huessin Katalambula, Kahigi, Mulokozi na waandishi wengine wengi tu.
Vile vile amanekimbusha mababu zetu waliotufundisha kuwa kutawaliwa na fedheha: hao ni miamba kama vile akina Chief Mkwawa, Bushiri Bin Salim, Chief Milambo, Kinjekikitile, na wengineo wengi tu.
Tumombe Mungu atusaidie tupate uongozi tena ili tuweze turudi kwenye njia sahihi kutoka huko machakani tunakohangaika kutafuta pa kwenda bila ya kuwa na kiongozi.
Picha za namna hiyo ndizo ninzaotafuta kwa nbguvu hapa. Hebu kumbuke hiz chache: