Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.

Ntaanza na hizi chache...

1.Biashara ya kuuza sharubati halisi
Hii biashara miaka 4 nyuma ilihit sana soko ila kwa sasa kimya kingi. Sioni tena watu wakikimbizana kununua ma container na kuyaremba ili kuuza sharubati😂 kina Mak Juice kunani huko?

2.Biashara ya kuuza ubuyu
Hii biashara ilivuma sana miaka ya 2015-2016 huku yule mzee wa kipemba wa kuitwa babu Issa akiwa superstar wa tunda hili adimu la kiangazi. Ilikuwa ni kawaida kukutana na vifungashio na vifurushi vya ubuyu kika kona hadi masaplaya wa maofisini Ila sikuhizi naona kimya kimetawala sana huko.😂 Hebu tuelezane shida ilianzia wapi?

3.Ufugaji wa sungura na mayai ya kware
Hiki kitu kilikuwa gumzo nyakati za 2012-2014 na watu walifungana mota haswa kuwa soko ni la uhakika. Watu walivunja vibubu kujenga mabanda ya hawa viumbe hai wa Mungu ila matokeo yake ilibidi wawafanye vitoweo tu.😂

4.Biashara ya Pub
Hii biashara ilivuma sana kipindi flani na ilikuwa ni kama trend na fashion kwa watu maarufu hasa bongo movie kufungua ila naona upepo ulikata ghafla. Sidhani kama ishu ni gharama sababu walijipinda kweli kweli kufungua bizness zinazoonekana. Ila ni kama watu waliikatia tamaa hii business nikiwemo mimi. Hebu tujuzane changamoto zikoje humu😂
 
Cc Ontario Canada 😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo letu tunapenda kuiga....yaani biashara kwasababu umemuona fulani anafanya basi unajikuta na wewe eti unaifanya....sisi sio wabunifu kwa vitu vipya ...........ndio maana upepo unatupeleka tu....mambo yakuiga iga ndio maana deci ililiza wengi, qnet,foreverliving,
 
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.

Ntaanza na hizi chache...

1.Biashara ya kuuza sharubati halisi
Hii biashara miaka 4 nyuma ilihit sana soko ila kwa sasa kimya kingi. Sioni tena watu wakikimbizana kununua ma container na kuyaremba ili kuuza sharubati😂 kina Mak Juice kunani huko?

2.Biashara ya kuuza ubuyu
Hii biashara ilivuma sana miaka ya 2015-2016 huku yule mzee wa kipemba wa kuitwa babu Issa akiwa superstar wa tunda hili adimu la kiangazi. Ilikuwa ni kawaida kukutana na vifungashio na vifurushi vya ubuyu kika kona hadi masaplaya wa maofisini Ila sikuhizi naona kimya kimetawala sana huko.😂 Hebu tuelezane shida ilianzia wapi?

3.Ufugaji wa sungura na mayai ya kware
Hiki kitu kilikuwa gumzo nyakati za 2012-2014 na watu walifungana mota haswa kuwa soko ni la uhakika. Watu walivunja vibubu kujenga mabanda ya hawa viumbe hai wa Mungu ila matokeo yake ilibidi wawafanye vitoweo tu.😂

4.Biashara ya Pub
Hii biashara ilivuma sana kipindi flani na ilikuwa ni kama trend na fashion kwa watu maarufu hasa bongo movie kufungua ila naona upepo ulikata ghafla. Sidhani kama ishu ni gharama sababu walijipinda kweli kweli kufungua bizness zinazoonekana. Ila ni kama watu waliikatia tamaa hii business nikiwemo mimi. Hebu tujuzane changamoto zikoje humu😂
Mack juice Wana wengi wamemuiga Ila bado anajikokota , anapata tenda nyingi Sana nowdays hasa kwenye matukio
 
Back
Top Bottom