Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Tatizo wabongo hatupendani roho mbaya tu wew umemuona mwenzako anauza vizur unataka umuige pasipo kujua anafanyaje biashara yake ubunifu zero
 
Tatizo wabongo hatupendani roho mbaya tu wew umemuona mwenzako anauza vizur unataka umuige pasipo kujua anafanyaje biashara yake ubunifu zero
Sasa ndugu aposto si na wenzio wanatakamo walambemo asali jamani😂
 
Mlonge ni Biashara mkuu, sema ni uvivu wa Watanzania kutafuta pesa ya haraka haraka
Mlonge ni biashara kubwa sana ila wabongo akili zimefungamana humu ndani. Kuna start up nimeiona kwenye forum moja ya Afrika ni watu wa Malawi wamenzisha biashara ya mlonge na wanauza nje
 
Screenshot_20220701-224232_Chrome.jpg
 
4.Biashara ya Pub
Hii biashara ilivuma sana kipindi flani na ilikuwa ni kama trend na fashion kwa watu maarufu hasa bongo movie kufungua ila naona upepo ulikata ghafla. Sidhani kama ishu ni gharama sababu walijipinda kweli kweli kufungua bizness zinazoonekana. Ila ni kama watu waliikatia tamaa hii business nikiwemo mimi. Hebu tujuzane changamoto zikoje humu😂
Hii inalipa kama utaweka miundo mbinu vizuri; wekeza pesa upate pesa
 
Back
Top Bottom