Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Mwanangu Sana Yule , kipindi akiwa form two mi form one , daah alikuwa ananionea Sana 😊😊😊, kipind hcho Sabaya akiwa form four na ubabe wake
Hahahah hivi jamaa alikuwaga mtata shuleni kumbe!
 
Mbona kama mnafurahia vile biashara za wenzenu kufa? Anyway tatizo ni ku flood market mwisho wa siku zinakufa taratibu.
Umewahi kuona wpi mbogo kufurahia mbongo mwingine kufanikiwa?
Zaidi ni kufurahia anguko.
Hizi biashaa tunazozibeza kuna watu walinufaika sana kabla ya anguko.

Biashara ni mchezo wa fursa, unatengeneza faida fasta then hiyo faida unawekeza kwingine.
 
FOREX>>>>>>>>CRYPTO

ONTARIO
 
FOREX>>>>>>>>CRYPTO

ONTARIO
Mkuu haka ka faida kaleo siwezi kupata wine???
IMG-20220701-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom