Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Mkuu hizo zinaitwa fursa za msimu na ujasiriamali ni kucheza na mazingira, msimu na kila aina ya fursa.
Hayo tunayoyaponda kuna watu waliwahi hasa waanzilishi na walipiga pesa ndefu tu na zikawavusha.

wewe subiria ajira rasmi hakika hutoboi.
mfano mzuri ni mambo ya sabuni...waanzilishi wlipiga pesa sana za kufundisha watu.
Nionavyo ni ukurupukaji tu.

Ukikaa vizuri na kutumia akili unaweza survive
 
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu [emoji23]! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.

Ntaanza na hizi chache...

1.Biashara ya kuuza sharubati halisi
Hii biashara miaka 4 nyuma ilihit sana soko ila kwa sasa kimya kingi. Sioni tena watu wakikimbizana kununua ma container na kuyaremba ili kuuza sharubati[emoji23] kina Mak Juice kunani huko?

2.Biashara ya kuuza ubuyu
Hii biashara ilivuma sana miaka ya 2015-2016 huku yule mzee wa kipemba wa kuitwa babu Issa akiwa superstar wa tunda hili adimu la kiangazi. Ilikuwa ni kawaida kukutana na vifungashio na vifurushi vya ubuyu kika kona hadi masaplaya wa maofisini Ila sikuhizi naona kimya kimetawala sana huko.[emoji23] Hebu tuelezane shida ilianzia wapi?

3.Ufugaji wa sungura na mayai ya kware
Hiki kitu kilikuwa gumzo nyakati za 2012-2014 na watu walifungana mota haswa kuwa soko ni la uhakika. Watu walivunja vibubu kujenga mabanda ya hawa viumbe hai wa Mungu ila matokeo yake ilibidi wawafanye vitoweo tu.[emoji23]

4.Biashara ya Pub
Hii biashara ilivuma sana kipindi flani na ilikuwa ni kama trend na fashion kwa watu maarufu hasa bongo movie kufungua ila naona upepo ulikata ghafla. Sidhani kama ishu ni gharama sababu walijipinda kweli kweli kufungua bizness zinazoonekana. Ila ni kama watu waliikatia tamaa hii business nikiwemo mimi. Hebu tujuzane changamoto zikoje humu[emoji23]
Mayai ya Kwarw hadi sasa nauzaga mbona na nina wateja kama 25 hao ni permenent, Wazungu na Wahindi, kuna Chinise na wabongo kadhaa, Pia nazalisha nyama yake sema kipindi hiki tumesimamisha kwanza
IMG-20220626-WA0000.jpg
 
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu [emoji23]! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.

Ntaanza na hizi chache...

1.Biashara ya kuuza sharubati halisi
Hii biashara miaka 4 nyuma ilihit sana soko ila kwa sasa kimya kingi. Sioni tena watu wakikimbizana kununua ma container na kuyaremba ili kuuza sharubati[emoji23] kina Mak Juice kunani huko?

2.Biashara ya kuuza ubuyu
Hii biashara ilivuma sana miaka ya 2015-2016 huku yule mzee wa kipemba wa kuitwa babu Issa akiwa superstar wa tunda hili adimu la kiangazi. Ilikuwa ni kawaida kukutana na vifungashio na vifurushi vya ubuyu kika kona hadi masaplaya wa maofisini Ila sikuhizi naona kimya kimetawala sana huko.[emoji23] Hebu tuelezane shida ilianzia wapi?

3.Ufugaji wa sungura na mayai ya kware
Hiki kitu kilikuwa gumzo nyakati za 2012-2014 na watu walifungana mota haswa kuwa soko ni la uhakika. Watu walivunja vibubu kujenga mabanda ya hawa viumbe hai wa Mungu ila matokeo yake ilibidi wawafanye vitoweo tu.[emoji23]

4.Biashara ya Pub
Hii biashara ilivuma sana kipindi flani na ilikuwa ni kama trend na fashion kwa watu maarufu hasa bongo movie kufungua ila naona upepo ulikata ghafla. Sidhani kama ishu ni gharama sababu walijipinda kweli kweli kufungua bizness zinazoonekana. Ila ni kama watu waliikatia tamaa hii business nikiwemo mimi. Hebu tujuzane changamoto zikoje humu[emoji23]
Biashara ulizo zitaja haoi zote mtu akijipanga anapiga pesa zote hizo.
 
Shida huwa tunataka mafanikio ya haraka haraka...
Kitu chochote ili ufanikiwe lazima ukipe muda,hata forex watu wanaiponda ila kuna watu imewapa na inaendelea kuwapa maisha.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Forex ni nzuri ,unauwezo wa kuwa tajiri ndani ya muda mfupi na pia inaweza kukulia pesa yako yote kama usipokua makini
Inahitaji utulivu mkubwa, broker nzuri na pia inampasa mtu aisome na kuifuatilia vizuri kabla ya kutrade
 
Uko sahihi hayo yanatake time na sio overnight process
 
Mbona unanitisha aise kuna motivesheni spika kanishawishi kulima parachichi za HASS. Hii nayo itakufa?
 
50% ya biashara hufa ndani ya miaka 3 toka kuanzoshwa, na nyingine 30% hufatia ndani ya miaka 5.
Asiliamia 20% wanaobak ndio hutusua.
Hii ni natural business science na ile ya weak will perish na strong will survive.

Ukiona biashara yako ina mjaka 6 na kuendelea jipige kifua ngumi!

Otherwise kufa kwa biasha ni swala mtambuka na lipo na limeandikwa
 
Back
Top Bottom