Mwanangu Sana Yule , kipindi akiwa form two mi form one , daah alikuwa ananionea Sana πππ, kipind hcho Sabaya akiwa form four na ubabe wakeBora kama alijiongeza maana pale kontena naona upepo sio sana
Biashara ilikufa siku Magufuli alipofariki.Biashara ya kununua Wapinzani hasa wa CHADEMA
Mno. Wanatuchosha sana hawa watuIla Tanzania tutafika mbinguni tumechoka sana
Soon nitaanzisha uuzaji wa mayai ya njiwa ili kuongeza hips na kuchochea mme ampende mkeπ π πMayai ya kware kuna kipindi tulipigwa sana aisee
Sasa hivi kuna biashara ya kuunga mkono royal tour[emoji23][emoji23][emoji23] Biashara ya kuunga mkono juhudi za mheshimiwa
Umewahi kuona wpi mbogo kufurahia mbongo mwingine kufanikiwa?Mbona kama mnafurahia vile biashara za wenzenu kufa? Anyway tatizo ni ku flood market mwisho wa siku zinakufa taratibu.
UTAPIGA HELA SANASoon nitaanzisha uuzaji wa mayai ya njiwa ili kuongeza hips na kuchochea mme ampende mkeπ π π
FOREX>>>>>>>>CRYPTOUmewahi kuona wpi mbogo kufurahia mbongo mwingine kufanikiwa?
Zaidi ni kufurahia anguko.
Hizi biashaa tunazozibeza kuna watu walinufaika sana kabla ya anguko.
Biashara ni mchezo wa fursa, unatengeneza faida fasta then hiyo faida unawekeza kwingine.
Bro 2018 crypto nilipiga 7ml iliyonyooka bila longo longo ni suala la timing.FOREX>>>>>>>>CRYPTO
ONTARIO
Kweli mkuu, tatizo ni kwa wale wenzangu na mimi wafauata mkumbo...tunaibiwa sanaBro 2018 crypto nilipiga 7ml iliyonyooka bila longo longo ni suala la timing.
Fx kuna watu hadi sasa wameshikilia lkn fuata mkumbo wote waliangukia pua.
Mliambiwa wazi;Kweli mkuu, tatizo ni kwa wale wenzangu na mimi wafauata mkumbo...tunaibiwa sana
Mkuu haka ka faida kaleo siwezi kupata wine???FOREX>>>>>>>>CRYPTO
ONTARIO