Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Mkuu hizo zinaitwa fursa za msimu na ujasiriamali ni kucheza na mazingira, msimu na kila aina ya fursa.
Hayo tunayoyaponda kuna watu waliwahi hasa waanzilishi na walipiga pesa ndefu tu na zikawavusha.

wewe subiria ajira rasmi hakika hutoboi.
mfano mzuri ni mambo ya sabuni...waanzilishi wlipiga pesa sana za kufundisha watu.
Nionavyo ni ukurupukaji tu.

Ukikaa vizuri na kutumia akili unaweza survive
 
Mayai ya Kwarw hadi sasa nauzaga mbona na nina wateja kama 25 hao ni permenent, Wazungu na Wahindi, kuna Chinise na wabongo kadhaa, Pia nazalisha nyama yake sema kipindi hiki tumesimamisha kwanza
 
Biashara ulizo zitaja haoi zote mtu akijipanga anapiga pesa zote hizo.
 
Shida huwa tunataka mafanikio ya haraka haraka...
Kitu chochote ili ufanikiwe lazima ukipe muda,hata forex watu wanaiponda ila kuna watu imewapa na inaendelea kuwapa maisha.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Forex ni nzuri ,unauwezo wa kuwa tajiri ndani ya muda mfupi na pia inaweza kukulia pesa yako yote kama usipokua makini
Inahitaji utulivu mkubwa, broker nzuri na pia inampasa mtu aisome na kuifuatilia vizuri kabla ya kutrade
 
Uko sahihi hayo yanatake time na sio overnight process
 
Mbona unanitisha aise kuna motivesheni spika kanishawishi kulima parachichi za HASS. Hii nayo itakufa?
 
50% ya biashara hufa ndani ya miaka 3 toka kuanzoshwa, na nyingine 30% hufatia ndani ya miaka 5.
Asiliamia 20% wanaobak ndio hutusua.
Hii ni natural business science na ile ya weak will perish na strong will survive.

Ukiona biashara yako ina mjaka 6 na kuendelea jipige kifua ngumi!

Otherwise kufa kwa biasha ni swala mtambuka na lipo na limeandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…