Tukumbushane biashara zilizoibuka na kufa kifo cha kimya kimya

Tatizo wabongo hatupendani roho mbaya tu wew umemuona mwenzako anauza vizur unataka umuige pasipo kujua anafanyaje biashara yake ubunifu zero
 
Tatizo wabongo hatupendani roho mbaya tu wew umemuona mwenzako anauza vizur unataka umuige pasipo kujua anafanyaje biashara yake ubunifu zero
Sasa ndugu aposto si na wenzio wanatakamo walambemo asali jamaniπŸ˜‚
 
Mlonge ni Biashara mkuu, sema ni uvivu wa Watanzania kutafuta pesa ya haraka haraka
Mlonge ni biashara kubwa sana ila wabongo akili zimefungamana humu ndani. Kuna start up nimeiona kwenye forum moja ya Afrika ni watu wa Malawi wamenzisha biashara ya mlonge na wanauza nje
 
Hii inalipa kama utaweka miundo mbinu vizuri; wekeza pesa upate pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…