SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Hujakosea mkuu..Andrews (sina uhakika na spelling) Dawa ya tumbo,ni ya unga unaitia kwenye maji inafanya kama kuchemka kisha unainywa faster.
Halafu tamuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea mkuu..Andrews (sina uhakika na spelling) Dawa ya tumbo,ni ya unga unaitia kwenye maji inafanya kama kuchemka kisha unainywa faster.
Yan umeuwa kabisaAisee siisahau kristapen. Nilipigwa hii sindano baada ya hapo nikaona mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu. Nilikiwa chiba kwa muda, kwa kuwa nilikuwa chalii, ilibidi wanibebe mgongoni.
Mi mpaka leo nina shimo takoni kwa ajili ya cristapen, sijui walinichomagajeHii ukichomwa lazima ukae mguu wote unakufa ganzi ni wachache sana walioweza kuchomwa na kuondoka bila kutweta kwanza.
Ilikuwa khatari sana ile kuanzia penye nyonga unahisi kama mguu umekatwa vile nimekumbuka mbali sana zaidi ya miaka 20 iliyopita.Mi mpaka leo nina shimo takoni kwa ajili ya cristapen, sijui walinichomagaje
It was 1990
nilipokunywa mara ya kwanza niliwashwa sana nikaamua nikaoge muwasho haukuacha nilipata shida sana siku hiyo mpaka niliambiwa ninywe piriton ndiyo nikaacha kuwashwa.Dah...hizi dawa kabla hata hujameza (kile kiharufu tu) unapata kichefuchefu! Na baada ya siku mbili unaaza kuwashwa🙁🙁
BTW, nimekumbuka pia zamani dispensary nyingi (hasa vijijini) hawakuwa na kipimo cha malaria (walikuwa hawapimi damu kama sasa). Nakumbuka sanasana walikuwa wanapima joto tu!
Chloroquine
Aspro
Cafenol
Cofta
Sulpher
Iodine
Andrews's
Salimia
Tetracycline
Dawanol
Dawaquin
Malaquine
Penicillin
Folic Acid
Mebendazole
Christapen sijaandika kiufasha lakini kati ya sindano nilizokuwa nashindwa kuvumilia
Hihii ilikuwa ukinywa unawashwa mwili mzimà....full kupiga gitaa...hahahaaaquinini
eh teh tehHihii ilikuwa ukinywa unawashwa mwili mzimà....full kupiga gitaa...hahahaaa