Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kama gari la maiti la kwanza kuondoka la mwisho kurudi. - Jamhuri Kihwelo Julio.
WooyMashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu "Ismail Aden Rage" mwenyekiti wa zamani wa timu hiyo
Ronaldo wa uongo ndo yupi"I am sad" - Ronaldo wa Uongo
Naam, kumbe unajua, RONALDO GOAT wa ukweli - the Phenomenon - yupo mmoja tu hata Ronaldo Assis ilibidi abadili jina na kuitwa Ronaldinho au siyo Gang Chomba?Ronaldo wa uongo ndo yupi
????
Au ndo
GOAT cristiano mzee???
Achana kabisa na GauchoNaam, kumbe unajua, RONALDO GOAT wa ukweli - the Phenomenon - yupo mmoja tu hata Ronaldo Assis ilibidi abadili jina na kuitwa Ronaldinho au siyo Gang Chomba?
View attachment 1626233
Yule team coach wa Yanga alisema........mashabiki wake ni uneducated one, ....nyan na mi mbwa ya kubwekabweka tu. Hawajui footballHeshima mbele wakuu...
Katika thread hii tutapata kukumbushana kauli zilizowahi kutolewa na wanamichezo Duniani kote.
Kila mtu kwa kumbukumbu yake anafulsa ya kubandika Quotes iliyowahi kumfurahisha ama kumchukiza katika medani ya Michezo...
Pia ni ruhsa kuelezea kauli hiyo ilitolewa lini ama kwa tukio lipi...
BISMILLAH...