Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Kama yapi Magu aliyoyafanya 75%? Yaorodheshe hapa,wacha kuleta propaganda za kutaka kupora legacy ya JK
Legacy ya JK ya kukaa angani zaidi hata ya kuishi nchini ktk kipindi chake huku akiacha mchwa wake utupige haitakuja kupolwa na mtu yeyote wala kusahaurika mkuu usijali😜!
 
75% ya list hiyo ilifanywa na JPM kwa kulazimisha akiwa waziri wa ujenzi[emoji12]!
Jakaya alifanikiwa kukaa angani kwa masaa mengi zaidi kuliko hata rubani wa ndege mashuhuri!
Living room ya Kikwete ilikuwa Angani, Airport ulikuwa ni mlango wake wa kwenda Ikulu kubadilisha nguo na baadaye kurudi angani.

Wakati wa Kikwete Tanzania ilikuwa haiheshimiwi kama watu wanavyoamini mpaka alipokuja Magufuli ndipo Kenya wakaingiwa na hofu na kuanza kupiga kelele kwe magezti kila siku.

Ile Gulfstream ilichakaa wakati wa Kikwete
 
Asante kwa kuongezea Mkuu Last emperor. Tuendelee kutetea kazi za viongozi wetu waliomtangulia Mwendazake, maana yeye aliamua kujenga propagada za UWONGO.
Nyie mnaoponda kazi za mh. JPM huku unakula na kufaidi matunda yake mna laana i see, mtapata nabalaa mnapotumia vitu vyema na vizurii vilivyoanzishwa ba vingine kukamirishwa na JPM!
Mungu yupo na anawaona vizuri saana🙏!
 
Waziri yeyote chini ya leadership sahihi angeweza kutekeleza, lazima credit zimuendee Rais aliyekuwa anaudhinisha mafungu ya fedha no matter anasafiri sana angani. Kudos JK
 
Mbona mnayamurika kwa tochi mafanikio asiyostahili!
Leo nimekutana na veteran mmoja aliyezuia ma lory ya mafuta kwenda nje ambayo hayakuwa yametimiza mashariti...yaliyomkuta...hatasahau😡!
 
Waziri yeyote chini ya leadership sahihi angeweza kutekeleza, lazima credit zimuendee Rais aliyekuwa anaudhinisha mafungu ya fedha no matter anasafiri sana angani. Kudos JK
Hakukua na leadership bana tusidanganyane!
 
Yote ongeeni lakini naona nafasi ya Magufuli katika kupambana na uhalifu. Hakuna Rais aliyelimudu hili tangu tupate uhuru. Hata mwalimu JN hakumudu kwa kiasi hiki.
 
75% ya list hiyo ilifanywa na JPM kwa kulazimisha akiwa waziri wa ujenzi[emoji12]!
Jakaya alifanikiwa kukaa angani kwa masaa mengi zaidi kuliko hata rubani wa ndege mashuhuri!
Samahani Mkuu, umemaliza masomo ya elimu ya la saba lini?
 
Mimi ninachokumbuka ni kwamba JK ndiye muasisi wa ufisadi wa MABILIONI, kabla ya hapo watu waliiba mamilioni😆😆😆😆😆 Wabobgo walichanganua na zakwao kama mbyauwayu🦜🦜🦜🦜😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyie mnaoponda kazi za mh. JPM huku unakula na kufaidi matunda yake mna laana i see, mtapata nabalaa mnapotumia vitu vyema na vizurii vilivyoanzishwa ba vingine kukamirishwa na JPM!
Mungu yupo na anawaona vizuri saana🙏!
Ni nyie misukule tu mliokuwa brainwashed na Mwendazake ndiyo mnamuabudu. Tanzania ikikuwapo kabla yake na itakuwapo. Yeye kairudisha nyuma sana
 
Hakukua na leadership bana tusidanganyane!
Kwani maana ya leadership ni nini? Leadership ni uwezo wa kuwafanya watu watende yale ambayo wasingetenda bila uwapo wako. Dictatorship ni utawala wa kiimla ambao maamuzi yanafanywa na mtu mmoja bila kufuata ushauri. Mlitaka JK awe DIKTETA?

Kweli tulikaa miaka 10 bila leadership ingewezekana hii ?
 
Unaijua EPA wewe?
Nani aliidhinisha hayo mahela?
 
Tz iliwezekana! JPM aliamua kujiongoza kwa ajili ya maslahi mapana ya Tz! Ila miaka 10 ya JK Tz ilikuwa na ombwe la uongozi😡! Ww unajua na yy pia anajua! Miaka 👊 ya JPM Tz ilikuwa na firm and strategic leadership ambayo itaendelea kupigiwa mfano mwema kwa karne kadhaa zijazo😜!
 
Ni nyie misukule tu mliokuwa brainwashed na Mwendazake ndiyo mnamuabudu. Tanzania ikikuwapo jabla yake na itakuwapo. Yeye kairudisha nyuma sana
Nawapa pole wazazi wako🤔! Maana niwazi unajieleza mwenyewe kuwa ni msukule!
 
Wewe unaita serikali ya "Wasiojulikana" kuwa ndiyo serikali nzuri?
Labda na wewe ulikuwa mmoja wa wasiojulikana
 
Magufuli was a ruthless authoritarian despot who stopped the Democratic process in Tz, banned practice of political parties, a murderer who suppressed press freedom, swindled the treasury about Tsh 2.4 Trillion, a tribalist and a liar.
Mwendazake hakuipenda Tanzania kwa vile yeye ni Mrundi. Alitaka aiharibu iwe nchi ya chuki kama Burundi. Mwendazake alikuwa kichaa, mwongo, mwizi, muuaji, mwenye chuki, malaya na mchawi
 
Kuna miradi kama minne hivi imekamilika wakati wa Magufuli na huo wa REA ni endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…