Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Mia 9 itapendeza Dr. Shika
Usipokubali kuliwa na we huli. Jk
10mil ni hela mboga Tibaijuka
Hapa kazi tu Jpm
Ngunguri ngangari Lipumba
Mtaji wa maskini ni nguvu zake Mkapa
Wapigwe tu make hakuna namna Pinda
Amfifilo GwajBoy
Nk
Ila dr shika alivuma kama upepo wa kisulisuli kisha amepotea mazima
 
Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.

Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'.

Toa msemo wako unaoukumbuka ulio wahi kutrend apa nchini
mwana kulifind mwaa kuliget
 
Back
Top Bottom