Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Usitutetemeshe naona hii ilipita kama upepo wa kisuli suli
 
Kutana na ....
Pia haka kalikuwa kamsemo ka kimazabe tuu
 
Kuna msaliti mmoja wa kisiasa hapa nchi kwetu alikuja na hii kauli mbiu...."Kazi na bata." Sasa yuko hoi kisiasa na kalostika kishenzi yuko tu na hasira kutaka kuua watu.
 
Kuna msemo PORA ulitumika sana boarding school kwa wale wahitinu
 
Back
Top Bottom