Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Niliwahi kupata mshangazi (lilikuja chuo kusoma LLB) ila alikua kazini tayari (Askari polisi) siku akaniita room kwake hall 3 aisee nilipiga mashine toka saa 9 mchana Hadi saa 1 bao 3 ila natafuta bao la pili Kondom ikapasuka kustuka wazungu hawa
 
Niliwahi kupata mshangazi (lilikuja chuo kusoma LLB) ila alikua kazini tayari (Askari polisi) siku akaniita room kwake hall 3 aisee nilipiga mashine toka saa 9 mchana Hadi saa 1 bao 3 ila natafuta bao la pili Kondom ikapasuka kustuka wazungu hawa
Yaani uko UDSM halafu unaponea lishangazi? Na wanyama wote waliozagaa pale?
 
Sisi tumepita hapo boom 2,500 TZS/day. Kipindi hicho, mgomo na kufukuzwa chuo jambo la kawaida tofauti na Sasa Makada ndo viongozi wa DARUSO.
Mimi nimepita hapo mpaka namaliza boom buku (1,000) kipindi cha Professor Ruanga! Engineering ilikuwa na jumla ya wanafunzi 200 na kati ya hao jumla ya wasichana/wanawake walikuwa 7 tu FoE nzima. Chezea FoE wee!
 
Nlikaa block D miaka yote tulikuwa rukichungulia madem block B au C sikumbuki vizuri walikuwa wajinga kinyama wakifika wanafungua madirisha wanalala uchi kabisa na walijua huwa tunawaangalia walitufanyia makusudi
Wana bahati sana enzi hizo hakuna simujanja. Wangetrendi kama Mwamba wa Guinea-Bissau.
 
Unajua JF sio FB kuna Wazee humu nashangaa umesoma UD wakati wa Mabibo Hostel alafu unawakoga wenzio eti enzi zetu
Wakati nasoma hapakuwepo cha Mabibo wala cha nini? Wote mwendo wa Hall 1 mpaka 7. Hall 3 na Hall 7 ndo zilikuwa za jinsia ya kike! Enzi hizo mwanafunzi wa UDSM alikuwa anaheshimika! Siku hizi ni vitoto vidogo maneno mengi kelele fujo mlegezo simu headphones 🎧 uzinzi ulevi kubett, (...ongezea na yako....); kwa ufupi ni shiiidaaah!
 
Yeah...Hall 1, 4 na 6 mchanganyiko. 2 na 5 me tu.
 
Kwenye Kunji hilo tuliwafungia wafanyakazi ofisi kuu na kuzima AC Ili waonje joto la Dar.
 
I was an international student na nilikua na mahusiano na mama mmoja hivi alikua amebeba vinoma karibu na hostel ya mabibo. nilienjoy sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…