KUHANIMKUU
Member
- May 15, 2020
- 58
- 109
Ndio mkuu, enzi hizo huyu waziri wa nini sijui, bwana Adolf Mkenda alikuwa anafundisha hapo chuo yeye na mke wake mzambia. Enzi za FASS Night, Five na Mass com, bcom yao ilikuwa inaitwa Managers night sijui, hahahaaa, wa miaka hii sijui hata kama wanaelewa π! Mana Fass ikaja kuitwa CASS night.....! UDSM mambo ni mengi muda ni mchache, na kama ndo kwanza umefika 'Daslam' ndo utachanganyikiwa kabisa tutakuokota 'auxiliary police ' huko πππKwa hiyo nyie wote mmesoma Udsm enzi hizo?πππ
Hiyo 2006 BA Sociology kulikua na mikwaju balaa Kuna moja bonge la shangazi lilikua linakunywa Sana mipombe ale bar ya DARUSO na Udasa baadae anahamia Meeda anakesha (alone). Kuna siku nililikuta limekua boss ofisi nyeti aisee usimdharau mtu na masomo yake ya UNGWINI. CoET kule mademu walikua wanahesabika na sura ngumu tupu. Mmoja Ni boss mkubwa Magereza. Siku hz mitoto hata haisomi inarukaruka Kama πΏMmmh! Rose wa Sociology ?? Mwaka gani? Mbona kama nakujua?
MSAUD foreverNdio mkuu, enzi hizo huyu waziri wa nini sijui, bwana Adolf Mkenda alikuwa anafundisha hapo chuo yeye na mke wake mzambia. Enzi za FASS Night, Five na Mass com, bcom yao ilikuwa inaitwa Managers night sijui, hahahaaa, wa miaka hii sijui hata kama wanaelewa π! Mana Fass ikaja kuitwa CASS night.....! UDSM mambo ni mengi muda ni mchache, na kama ndo kwanza umefika 'Daslam' ndo utachanganyikiwa kabisa tutakuokota 'auxiliary police ' huko πππ
Watu walikula stiki za kutosha.2004/2005 tulianzishi kunji kupinga HESLB tukiongozwa na Bahati Tweve. Safari yetu ya kuelekea Ikulu kumwona Rais Mkapa kumweleza jambo letu iliishia UCLAS hatukufanikiwa kuvuka Survey...Tulipigwa na wazee wa ngunguri hatareeeee.
Sikusoma UDSM ile yenu yakulemba mwandiko nilikula vitu vya Coet Civil Eng ya Dr Nyahoro namba mwanzo mwisho kama ulisoma kule kwa Kadege una haki ya kukosoa uandishi wangu,maana O level kiswahili nina DππKwa huu uandishi wako wa kuchanganya a na ha, u na hu ulisoma UDSM ya wapi, si mnasemaga nyie ni cream ya taifa au ndiyo unathibitisha nyie ndiyo jalalani pro max?!
Hahaha πππBush bwana, akaongoza mgomo wa boom, chuo wakamuangaliaaa, alipomaliza tu wakamchukua wakamuweka pale utawala ashughulikie mikopo, sasa nenda pale sijui jina lako hujaliona boom blah blah blah, anakujibu shit mpaka unataka kuzimia! Huwezi amini km ndo yeye aliyekuwa anateswa na mkopo mpaka kuwa kiongozi wa migomo!
πππKuna wapuuzi walikuwa wanakula bibo ground usiku.
Unajua JF sio FB kuna Wazee humu nashangaa umesoma UD wakati wa Mabibo Hostel alafu unawakoga wenzio eti enzi zetuNiice
Hili sio jukwaa la CBE ndugu. Pita hivi..Unajua JF sio FB kuna Wazee humu nashangaa umesoma UD wakati wa Mabibo Hostel alafu unawakoga wenzio eti enzi zetu
Wanakula ndogo au? Ulijuaje?Kuna wapuuzi walikuwa wanakula bibo ground usiku.
Bush kawa Kama kondoo siku hizi. Anapelekeshwa Hadi na mkewe. Niliwaona Mlimani city mke anamgombeza njia nzima. Kuna kipindi aliendaga UDOM akaleta ukanda maalum enzi za jiwe (wakamtimua) siku hz nadhani karudi UDBush bwana, akaongoza mgomo wa boom, chuo wakamuangaliaaa, alipomaliza tu wakamchukua wakamuweka pale utawala ashughulikie mikopo, sasa nenda pale sijui jina lako hujaliona boom blah blah blah, anakujibu shit mpaka unataka kuzimia! Huwezi amini km ndo yeye aliyekuwa anateswa na mkopo mpaka kuwa kiongozi wa migomo!
hahahahah hii comment imenifanya nipizi.Block D 2006 tujuane.
Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.
Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.
Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani