TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
- #81
Usidandie uzi kwa mbele,utagongwa kwa nyuma mzee wa Teku.Upo sahihi kabisa, hajui huyu kuwa wababe tumo humu tunamsanifu utumbo wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidandie uzi kwa mbele,utagongwa kwa nyuma mzee wa Teku.Upo sahihi kabisa, hajui huyu kuwa wababe tumo humu tunamsanifu utumbo wake!
Unaweza ukachangia hata kama haukuwapo kipindi cha Bibo na Campus.Sisi tuliohitimu 1985 tuchangie wapi hapa maana Chuo Kikuu Mlimani na Muhimbili jumla tulikuwa 2320 kwa miaka yote! Nyinyi mnaongea ya jana ambapo Chuo kins wanafunzi zaidi ya 16,000!
Odong nae alikuwa na nyota mganda yule! Kipindi cha kunji kabla hatujatimuliwa ilikuwa usiku main campus mtu anapiga ile 'Odooooong' kutokea hall five, sauti zinajibu kutoka hall 2 , 'Odwaaaaaaaaa', hahahaaa, ilikuwa burudani sana. Wakaja kumpiga deportation ya saa 24 naskia, wakamrudisha kwao kwa Idd Amin, na sijui ana udugu nae, maana alikuwa copy right na Idd Amin [emoji1787][emoji1787]
Al shabab😂😂😂Sisi wa Kunjii ya Al shabab Japokua Rev Square ilikuwepo na Katibu wa uenezi ACT wazalendo nilimuona anamwaga nondo pale miaka hiyo
Ila chuo kulikuwa na mambo mengi ya kujifunza nje ya masomo. Mfano kulikuwa na kaka mmoja anauza 'chupi' , akipita nje ya vyumba anaita pichu pichu. Kuna siku nikamuuliza hii kazi inakunufaisha? Akasema anasomesha wadogo zake kadhaa kwa biashara ya chupi na mambo madogo madogo hayampigi chenga! Alikuwa anavaa smart na begi lake la chupi km kabeba laptop kumbe anapiga business na inamuingizia. Heko kwake, anaambia wadada "nunueni chupi jamani , sio unavaa chupi imeisha, imechokaa, ukisimama mbele ya feni mjupi unapepea ", hahahaaaaa
Shikamoo[emoji3][emoji3]Sisi tuliohitimu 1985 tuchangie wapi hapa maana Chuo Kikuu Mlimani na Muhimbili jumla tulikuwa 2320 kwa miaka yote! Nyinyi mnaongea ya jana ambapo Chuo kins wanafunzi zaidi ya 16,000!
Tupe connection za US mkuu😂😂Naishukuru UD sasa kwa elimu niliyopata pale sasa hivi nipo maryland U.S nakula maisha
Assalaam aleykum Sheikh!MSAUD forever
Alimaindi sana wadau na alilia sana alivyofukuzwa chuo na watu wakashindwa kugoma ili asifukuzwe... Mzee wa hesabu rahisi za simultaneous Equation.Al shabab😂😂😂
Vp wenzako walikuelewa kwelii?Mimi sitasahau jinsi tuliibiwa laptop nne room hall 4 nikiwa 1st year na ndio nilikua nmeachwa room peke yangu jioni, mida ya sa amoja nikasema ngoja niende chaap cafeteria kununua wali samaki, narudi room tu nikakuta mlango umevunjwa[emoji2364], hapo nilikua na laptop yangu mpyaaa hp haijamaliza ata mwezi mwizi kaiiiba na nyingine tatu za wengine[emoji2306]
First year niliishi Hall 7 ila habari za kubebana ndio sipendi mana watu wakiomba uwabebe huwezi kataa.,
2nd na 3rd Yr nkaishi Mabibo raha mustarehe
Mi na besti angu tulikua tunatoka mabibo asbh tunarudi jioni most of the times mana foleni lile mataa Ubungo miaka hio sio poa kabisa tuliokaa mabibo ndio tunaelewa..tukishinda campus mchana tunasoma zetu km hatuna vipindi, wa Main campus wanaenda kulala na kuoga huko na kufua sijui,..tulifaulu vizuri tu Alhamdullilah mana shule ilikua km kwenda kazini daily😅
sipendi kufua long time wale wafanya usafi Mabibo kule walikua wanafua kwa sh 100/200 likewise kuchotewaa bado wadogo🙏🏽
Hall 7 ground floor na Block BFirst year niliishi Hall 7 ila habari za kubebana ndio sipendi mana watu wakiomba uwabebe huwezi kataa.,
2nd na 3rd Yr nkaishi Mabibo raha mustarehe
Mi na besti angu tulikua tunatoka mabibo asbh tunarudi jioni most of the times mana foleni lile mataa Ubungo miaka hio sio poa kabisa tuliokaa mabibo ndio tunaelewa..tukishinda campus mchana tunasoma zetu km hatuna vipindi, wa Main campus wanaenda kulala na kuoga huko na kufua sijui,..tulifaulu vizuri tu Alhamdullilah mana shule ilikua km kwenda kazini daily😅
sipendi kufua long time wale wafanya usafi Mabibo kule walikua wanafua kwa sh 100/200 likewise kuchotewa maji...ni mteremko...sibebi maji sifui...
chakula cha cafeteria nmekula first year, Mungu mkubwa kuna kazi fulani nilikua nafanya part time basi most of 2nd Yr na 3yr nimekula HillPark
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kwenda cafeteria ya hapa karibu na Rev square kulikuwa na bonge la foleni na ni kipindi boom limekata kwa wengi mimi sikuwa napata boom kwa hiyo nilikuwa napata kwa mzazi nilivyoona ile foleni nikasema leo nitachelewa kupiga menu nimekaa kidogo ghafla mhudumu kaja akafuta RB ha ha ha ebana eeh mstari wote ulipotea nikapata menu kwa urahisi
Hall 7 2nd floor actuallyHall 7 ground floor na Block B
Tupe connection za US mkuu[emoji23][emoji23]