Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

Huo ulikua ukimwi wa zamani, sasa hivi watu wanaumwa na hawajijui hata wanadunda tu mtaani
kuumwa ni kama mtu hatumii dawa au awe ameacha dawa uyo ataumwa maana kinga ya mwili imeshuka. nje ya apo mtu anakuwa na afya yake njema tu.
 
kuna jamaa aliugua kwa muda mrefu sana. ilifikia wkt kila sehemu ya mwili ilikuwa imeisha amechonga mwili mzima umebaki mifupa kichwa kimekongoroka ila akawa bado yu mzima tu hafi. watu wengine wazima wanakufa yeye yupo tu.

miaka inakata yeye bado yupo! kuna wakati anaweza akaumwa sanaaa mkasema huyu kesho hataamka au wiki ijayo hafiki, lakini wapi kunakucha na mawiki na miezi na mwaka unakata jamaa yupo anadunda zake fresh tu.

alikaa kwenye hali iyo muda mrefu adi yeye mwenyewe akachoka maana maumivu yalikuwa ni makali sio ya apa kiasi hata yeye mwenyewe hafurahii tena uwepo wake apa duniani lakini ndo ivyo mungu anaendelea kumtunza. bdae sana alifariki lakini kwakweli palichimbika aisee yani acha kabisa
 
Nyege mbaya na walio oa pia wana zini nje so bora watumie mpira buko nje ila ukimwi miaka ile ulikua wa kutisha sana sahv kama haupo kumbe una tu zoom tufanye ujuha na trump kazima msaada

wakati ule kama ulikuwa na nye.ge zako au ndo umemleta dem geto kwako hlf ikatokea umeonana na mgonjwa, aisee izo nye.ge zote zinakata chap apoapo unajihisi kuingiwa na ubaŕidi maungoni na kinachofata ni kwenda kumtoa mtoto wa watu geto chap kumruhusu achape mwendo chap arudi kwao kabla mambo hayajawa mengi😁
 
Sana mzee yaani mwezi mzima unajikuta huna hamu
 
Enzi hizo ukipata UKIMWI watu wanaanza kukuhesabia siku wakisema hamalizi mwaka. Kuna watu tangu enzi hizo walijulikana ni waathirika mpaka leo ni wazima tena wana afya nzuri hawana hofu ya kufa kwa ugonjwa huo
mungu wa ajabu sana kuna maza alikuwa anatoa ushuhuda amegundulika miaka ya themanini lakini yupo hata leo hii.
 
Ilikuwa hatari Shule ya msingi Maticha kama watatu walikufa...yani walikonda hadi wanafunzi tukienda kuwasalimia mademu wanakia jinsi ticha alivoisha.
Hamna namna vijana tujikinge bila ARV hata ukipiga denda tu unao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…