Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Dah.! noma sana. Mwili unaisha kabisa inabaki mifupa tuHivi anakuwaje, ebu niambia na mie nipate picha nitakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.! noma sana. Mwili unaisha kabisa inabaki mifupa tuHivi anakuwaje, ebu niambia na mie nipate picha nitakuwaje
ni vizuri kujua ukajihami mapema kuliko ukaja kushtukizwa na hali halisiUnawajengea watu hofu, kama hazitapatikana
Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa kufika dar au mtwara? na vip kuhusu watu wa vijijini?- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake amuepushe na kikombe.
- Elimu kwa jamii zilitolewa zikichagizwa na picha za kilichokuwa kinaendelea mkoa wa kagera. kwa mujibu wa taswira zìle huko kagera ugonjwa ulimaliza watu wengi na wengine hata nyumba zilifungwa hakuna aliyebaki. nyumba zingine nyingi zilibaki zikiendeshwa na watoto mayatima baada ya wazazi wote kufariki.
- Kimya kingi kilitanda huku ugonjwa ukiendelea kutafuna watu kimyakimya.
- Kwenye hatua za mwanzoni wagonjwa wengi walikuwa wakionekana kupata mkanda wa jeshi yani miaka hiyo kama wewe una mkanda wa jeshi tu basi ilikuwa ni uthibitisho tosha tayari una tatizo hilo.
- Ukiona jirani yako flani haonekani hapo mtaani hiyo ilikuwa ni ishara tosha kuwa kama jirani uyo hajasafiri basi tayari uenda mambo yameshaharibika.
- Ugonjwa ulikuwa haufichiki. Ukiwa nao utajulikana tu apo kitaani kwenu. maana mwanzoni utajifungia ndani kwako lakini bdae lazma utoe ukahemee au kupata matibabu nk. ukitoka tu habari zako zinaanza kusambaa kama moto wa nyika.
- Ili kuepuka macho na vidole vya walimwengu familia nyingi ziliwapeleka mahospitali wapendwa wao mapema alfajiri sana au hata usiku.
- Familia nyingi zilikuwa zinaepuka kuwapima wagonjwa wao maana unampimaje mtu wakati unajua ugonjwa wenyewe hauna dawa. hivyo basi familia nyingi ziliishia kuuguza tu wagonjwa wao kimyakimya hadi wagonjwa anapokutana na mwisho wake.
- Wagonjwa wengi waliisha sana miili yao. hata kama ulikuwa kibonge kama pipa mwili wote utaisha kabisa unabaki kichwa ngozi na mifupa mitupu tu. ilikuwa sio ajabu kukuta mtu mwenye mwili mkubwa kama wale mabaunsa kaisha mwili wote kiasi hata usiweze kumtambua.
- Ilikuwa kawaida tu mtu mzima kabisa mwenye mwili uliojengeka vema akamalizwa na kubaki makongoro tu kiasi ambacho akilala kitandani hlf wewe ukapita apo usimuone au kujua kama pale kitandani kuna mtu amelala. najua kuna wanaozani natania lakini iyo ndio hali ilivyokuwa wakati huo.
- Watoto wengi waliozaliwa na maambukizi hawakuweza kuishi wengi walifariki baada ya muda mfupi na wachache kwa kudra za mwenyezi waliweza kuishi na wengine wako hai hata leo hii.
Hapa tunakumbushana tu hatutishani ukimwi upo tujilinde.
***Tafadhali msiuunge uzi huu tuna vijana damu changa wengi humu wanapaswa kupata ufahamu wa kule tulikotoka.
Duh kwa hiyo nile sana huu mwaka ili nikiwa nakufa mwaka kesho nisiishe sanaDah.! noma sana. Mwili unaisha kabisa inabaki mifupa tu
Take my word mkuu jilindeMambo yalikuwa hivi wa 2000..... Hatujui hii experience aseeh
hatariHivi anakuwaje, ebu niambia na mie nipate picha nitakuwaje
Inabidi tukampigie magoti mkuu wa dunia, aendeleze misaadani vizuri kujua ukajihami mapema kuliko ukaja kushtukizwa na hali halisi
🤣🤣Usione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.
Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
Najilinda mkuu wangu kilo hizi 50kg si ndo ntaonekana msukuleTake my word mkuu jilinde
Nimekumbuka wasanii wa enzi hizo bwana walihamasisha jamii kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi..hivi wasanii wa sasa si wageukie upande huu wapige pesa hawaoni fursaUsione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.
Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
Is it possible?Ni muda muafaka wa kukikata kitendea kazi na kukitupa
mabeberu ndio walioutengeneza huu ugonjwa, wametusaidia kidogo kwenye "kufubaisha" (kinafiki) sasa wanataka kutuachia zigo lao- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.