Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa kufika dar au mtwara? na vip kuhusu watu wa vijijini?
 
Usione sooo sema nae kuhush kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia kondom....hili kwangu mie was the best advert ever hapa bongo.

Sema ndio hivyo tena mbususu kula kwa condom ninkupiga nyeto tuu
Nimekumbuka wasanii wa enzi hizo bwana walihamasisha jamii kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi..hivi wasanii wa sasa si wageukie upande huu wapige pesa hawaoni fursa
 
mabeberu ndio walioutengeneza huu ugonjwa, wametusaidia kidogo kwenye "kufubaisha" (kinafiki) sasa wanataka kutuachia zigo lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…