hivyo sasa ndo hali ilivyokuwa. apo itakuwa watoto wote wameshapukutishwa ndo ayo makaburi. bi mkubwa kabaki mwenyewe na ukute hana tena wa kumsaidiaHali ilikuwa mbaya nakumbuka kuna sehemu moja kanyigo ukipita utakuta nyumba ina mbibi alafu pembeni ni makaburi
Ni hatariIs it possible?
hao bado wapo hata leo hiitaasisi ya kanisa la RC ikiitwa PASADA
Hivi house party ni nn huwa nasikiagaMdogo wake rafiki angu alipotea
Tumekuja kumpata kumbe alienda house party huko wamejifungia siku 5 ni uzinzi tu nadhani walikuwa wanafanya group sex
Aisee watoto wa chuo wanapukutika na tamaa ndo zinawaponza
Duuu kitambo sana huo wimboKulikuwa na wimbo unaimbwa dawa ya ukimwi kidonge pembe nne, halafu kuna picha ya jeneza
Aya marazi niyakutengenezwa pia kunasiri nyingi najalibu kufikilia kama ugonjwa alipatikana kagera kwa mtu mmoja ulienea vip? Maan ilikua rahisi kuzibiti kupitia uyo mgonjwa? nawaza mbali zaid miaka ya 70 miundo mbinu haikua rafiki kusababisha muingiliano wawatu wengi, je ilikua vip ugonjwa kufika dar au mtwara? na vip kuhusu watu wa vijijini?
Wapo wliobahatika kukutana na dawa wakasalimika itakuwa ndo hao unasema wanadunda hata sasa. ila haikuwa rahisi aisee. ila kuna webgine waliondoka miezi michache kabla dawa hazijaanza kugawiwa.Enzi hizo ukipata UKIMWI watu wanaanza kukuhesabia siku wakisema hamalizi mwaka. Kuna watu tangu enzi hizo walijulikana ni waathirika mpaka leo ni wazima tena wana afya nzuri hawana hofu ya kufa kwa ugonjwa huo
ndio hao hao waliokutana na dawa, wanadunda hadi sasaWapo wliobahatika kukutana na dawa wakasalimika itakuwa ndo hao unasema wanadunda hata sasa. ila haikuwa rahisi aisee. ila kuna webgine waliondoka miezi michache kabla dawa hazijaanza kugawiwa.
wakiitwa SHDEPHA+ hao wamba wapo hata sasa.Vyama vya wenye UKIMWI vilianzishwa na kuunda shirikisho lao likiitwa SHIDEPHA+ viongozi wake wa mwanzo kabisa walikuwa ni wale waliojitangaza wazi kuwa ni waathirika, pamoja na hali yao hiyo walijipatia umaarufu nchi nzima mpaka kufikia wengine kutaka kugombea ubunge
miaka iyo sanasana wanaume ndo walikuwa wanauchota uko mijini kwenye mizunguko yao wanawaletea wake zao nyumbani.Mkuu, jamii iliyoanza kuathirika ni jamii kutoka Bukoba, maambukizi kuenea na kuwafikia watu zaidi ya wawili ni 💯.
Kumbuka kuna ndugu kutoka mikoa mingine waliokuwa wakiingia Kagera kwa wenyeji wao.
Kuna wanafunzi kutoka mikoa mingine waliokuwa wakichaguliwa kwenda Kagera kwa ajili ya elimu.
Nyakato sec.
Rugambwa sec.
Kahororo
Ihungo
Kuna waajiriwa pia waliokuwa wakitoka mikoa mingine.
Bila kuwasahau wavuvi kisiwa cha Goziba.
kuna jamii moja ya wafugaji walipapata maambukizo mijini wakarudi vijijini mwao wakawaambukiza wake zao, ilisikitisha sanamiaka iyo sanasana wanaume ndo walikuwa wanauchota uko mijini kwenye mizunguko yao wanawaletea wake zao nyumbani.