Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

Dah Umenikumbusha mbali sana, Mzee wa kikombe,
Walikuwa wanasema ameoneshwa meli kubwa ya raia wa kigeni wakienda kupata kikombe,
Watu walitiririka sana Loliondo.

Ila Babu aliwaweza watu 🙌🙌🙌

Mchungaji Ambilikile Mwasapile RIP
True. ila huyu mzee alisaidia kufichua watz wengi walivo na hali tete ya kiafya maana kila mtu hadi viongozi wakubwa wa nchi walijazana kwenda kupata kikombe.
 
Back
Top Bottom