Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Zamani imeisha hiyooooo,ulikuwa hujui.......!Kumbe konde keshapotea?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani imeisha hiyooooo,ulikuwa hujui.......!Kumbe konde keshapotea?!
Hilo ndo tatizo mnafikiri muziki ni pesa tu hiyo list labda Dully na Ali kiba tu ila hao wengine bado wana kitu cha kuwapa mashabikiHapana unajua hao wote hawapati return kwenye huo mziki na ndo maana ya kupitwa na wakati licha ya ngoma zao kufanya good,wamebakiza fan base kubwa lakini mda umeisha ok.Ko mtoa maada naona yupo correct for my side
Sasa uliona wapi mziki bila return.............?Hilo ndo tatizo mnafikiri muziki ni pesa tu hiyo list labda Dully na Ali kiba tu ila hao wengine bado wana kitu cha kuwapa mashabiki
YOU MUST BE MENTALLY ILL.Roma mkatoliki
Hao hawapo kabisa ktk mainstream...Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??
hakika wewe ni takoSio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.
4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.
5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.
6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.
7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.
8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.
9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.
Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.
Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
Unaruhusiwa kutoa maoni yako...usitulazimishe tushabikie wasanii wako wa kipuuzi... hii list mbona umepanga kama kuwaconvince watu wawapotezee hao wasanii unaodai kwamba wamechuja? Fid aache mziki halafu tumsikilize nani acha upuuzi bro
Joh Makini amekua lofa kweli kweli,ana wimbo wake wakisenge senge unaitwa eti mchele kuna sehemu anaimba eti
'Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya'.
Pumbavuu.