Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Hii list ni kama mtoa post anachokoza jambo ili kujua kitu

Aliowataja ndio pekee wamejitahidi kumaintain kwa muda mrefu na mpaka leo wanasumbua eti anasema wapumzike

Wakati watu kama kina Tundaman, Temba nk ndio walitakiwa waambiwe hayo

Anyway Mungu fundi kutuumba na mawazo tofauti wacha tubaki kuyaheshimu tu
 
Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??
Asante kaka/dada
 
Hii list ni kama mtoa post anachokoza jambo ili kujua kitu

Aliowataja ndio pekee wamejitahidi kumaintain kwa muda mrefu na mpaka leo wanasumbua eti anasema wapumzike

Wakati watu kama kina Tundaman, Temba nk ndio walitakiwa waambiwe hayo

Anyway Mungu fundi kutuumba na mawazo tofauti wacha tubaki kuyaheshimu tu
Mawazo yako pia yanaheshimika Mkuu..

Ila ukweli unabaki palepale..

Tukubali wameishiwa.

Na si dhambi.

Muda ukikutupa hmekutupa tu.

Na ndio maana kuna kuretire.
 
Sio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.

1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.

2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.

3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.

Iyo list ....nilitegemea kumuona Queen darling ..naona unaz mwingi...tu hapo. Na jealous

4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.

5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.

6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.

7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.

8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.

9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.

Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.

Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
 
Back
Top Bottom