DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mtoa post ...jealous pungunza umamua kumention wasanii wenye mafanikio tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umemuacha diamond katika listSio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.
4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.
5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.
6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.
7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.
8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.
9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.
Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.
Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
Q chilla,,T.i.d,Niki wa 2 na niki Mbishi,Barnaba.....they are piece of hell to the gameSio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.
4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.
5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.
6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.
7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.
8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.
9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.
Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.
Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
Are you crazy?!!!!!Sio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.
4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.
5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.
6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.
7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.
8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.
9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.
Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.
Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
Joh Makini amekua lofa kweli kweli,ana wimbo wake wakisenge senge unaitwa eti mchele kuna sehemu anaimba eti
'Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya'.
Pumbavuu.
Ha ha ha haa....Q chilla,,T.i.d,Niki wa 2 na niki Mbishi,Barnaba.....they are piece of hell to the game
Huwezi kuwa serious...!Diamond nae apumzike sasa
Ngoja niongezee kidogo listSio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.
1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.
2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.
3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.
4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.
5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.
6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.
7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.
8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.
9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.
Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.
Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.
UPDATE 1. WANAWAKE WANAOPOTEZA MUDA KTK TASNIA ILHALI ISHAWAKATAA. WAFANYE MENGINE.
1. Ray C.
Dada yetu mpendwa ulifanya mengi.. Ulijimaliza mwenyewe.
Pole.
2. Lady Jay Dee.
Ni ngumu sana kukutaja legendary kama wewe ktk orodha hii. Nisamehe.
3. Mwasiti.
Gone too soon. Najua si mapenzi yako. Fanya mengine.
4. Rosa Ree..
Bangi zinakupeleka kubaya... Mziki ushafeli. Unakera. Unaimba upuuzi.
5. Ruby..
Course ulosomea college jaribu ikupatie kazi.. Usha potea kwwnye mziki. Huwezi.
6. Giggy Money
Huyu kashajielewa.. Alikuja ktk tasnia hii kudanga tu.
7. Lulu Diva
Acha ...Achaa.. Acha kabisaa... Hujitambui na hujielewi. Music is Passion.
8. Mimi Mars...
Urembo wako unakubeba.. Ila mweupee. Shukuru pia Unaegemea nyota ya Sister.
9. Nandy...
Nasikitika nawe upon ktk orodha hiii...
Unatumika..then utatupwa ka makombo.
Kesho nitakuja na Young Super talents... Rising Stars. Doing Good..
No beef No meat..
Wivu na chuki
Unaongelea vitu viwili tofauti,.. Wewe Unaongelea biashara au kujua mziki? Return unayotaka ni mkakati nzr wa biashara... Acha wivu kijana,..Sasa uliona wapi mziki bila return.............?
Sawa tu. Samahani lakini.Wote wako vzr na wanajua sana... Ila inaonyesha una wivu tu. Music sio matusi...
Mhubiri 7:5
[5]Heri kusikia laumu ya wenye hekima,
Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;
Akili yako inaamini mwanamuziki lazima aimbe matusi au,.. Huwezi sema Prof J hajui,.. Wewe ndiye utakua hujui mziki. Mwana FA!!?... ila ukiwa mpumbavu hutoweza kuiona thamani ya hekima,.. Ni sawa na nguruwe kuveshwa Pete ya dhahabu sikuoni mwake.