Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Hapana unajua hao wote hawapati return kwenye huo mziki na ndo maana ya kupitwa na wakati licha ya ngoma zao kufanya good,wamebakiza fan base kubwa lakini mda umeisha ok.Ko mtoa maada naona yupo correct for my side
Hilo ndo tatizo mnafikiri muziki ni pesa tu hiyo list labda Dully na Ali kiba tu ila hao wengine bado wana kitu cha kuwapa mashabiki
 
Nasikitika iyo no.9 zile promo na ngoma iliyo toka sizani kama kai tendea aki promo yake



No 10. Akae lady jay dee.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimependa namba 9 hasa ulivosema "nasikitika kumueka huyu kijana kwenye list hii"[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Joh Makini amekua lofa kweli kweli,ana wimbo wake wakisenge senge unaitwa eti mchele kuna sehemu anaimba eti

'Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya'.

Pumbavuu.
 
Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??
Hao hawapo kabisa ktk mainstream...

They are no more.
 
hakika wewe ni tako
 
usitulazimishe tushabikie wasanii wako wa kipuuzi... hii list mbona umepanga kama kuwaconvince watu wawapotezee hao wasanii unaodai kwamba wamechuja? Fid aache mziki halafu tumsikilize nani acha upuuzi bro
Unaruhusiwa kutoa maoni yako...
 
Reactions: Qwy
Ila hiyo namba 9 amekwishahaidiwa ubunge wa Tandahimba kwa hiyo hata akiacha muziki hakuna atakachokikosa
 
Joh Makini amekua lofa kweli kweli,ana wimbo wake wakisenge senge unaitwa eti mchele kuna sehemu anaimba eti

'Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya'.

Pumbavuu.

Huyu na kundi lake kilichowagharimu ni ukanda... Naeza Sema ni wabinafsi sana.
Wana... 'Usisi'... 'Uarusha'...

Wamejipoteza Kwa ujinga wao.
 
Huyo wa mwisho yeye atakuwa next to Marlow......................... msinisumbue ndio hivyo wengine wote bado wako kwenye game sana tuu
Inasikitisha sana.
Kwamba ni next Mbunge..!??

Let us wait.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…