Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Hii list ni kama mtoa post anachokoza jambo ili kujua kitu

Aliowataja ndio pekee wamejitahidi kumaintain kwa muda mrefu na mpaka leo wanasumbua eti anasema wapumzike

Wakati watu kama kina Tundaman, Temba nk ndio walitakiwa waambiwe hayo

Anyway Mungu fundi kutuumba na mawazo tofauti wacha tubaki kuyaheshimu tu
 
Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??
Asante kaka/dada
 
Mawazo yako pia yanaheshimika Mkuu..

Ila ukweli unabaki palepale..

Tukubali wameishiwa.

Na si dhambi.

Muda ukikutupa hmekutupa tu.

Na ndio maana kuna kuretire.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…