Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Mtoa post ...jealous pungunza umamua kumention wasanii wenye mafanikio tupu.
 
mbona umemuacha diamond katika list
 
Q chilla,,T.i.d,Niki wa 2 na niki Mbishi,Barnaba.....they are piece of hell to the game
 
Are you crazy?!!!!!
Em u blogger achia wengine kijana.
Post imejaa wivu wivu wivuuuuu tu.
NONSENSE!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Joh Makini amekua lofa kweli kweli,ana wimbo wake wakisenge senge unaitwa eti mchele kuna sehemu anaimba eti

'Tunawalisha ya kutosha ndo maana bado mnakunya'.

Pumbavuu.
 
Huyo namba 5 hata usimlaumu maana hata Rais wa nchi yake hakijui kiswahili accurately
 
Ngoja niongezee kidogo list
Mr blue
Chin biz
Lava lava
Moni central zone
Benson hauzimi
Nikki mbishi
 
Wote wako vzr na wanajua sana... Ila inaonyesha una wivu tu. Music sio matusi...

Mhubiri 7:5
[5]Heri kusikia laumu ya wenye hekima,
Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;

Akili yako inaamini mwanamuziki lazima aimbe matusi au,.. Huwezi sema Prof J hajui,.. Wewe ndiye utakua hujui mziki. Mwana FA!!?... ila ukiwa mpumbavu hutoweza kuiona thamani ya hekima,.. Ni sawa na nguruwe kuveshwa Pete ya dhahabu sikuoni mwake.
 
Sasa uliona wapi mziki bila return.............?
Unaongelea vitu viwili tofauti,.. Wewe Unaongelea biashara au kujua mziki? Return unayotaka ni mkakati nzr wa biashara... Acha wivu kijana,..
 
Sawa tu. Samahani lakini.
 
Ni kweli NEY WA MITEGO hajui hata kiswahili vizuri.

Ana kithembe na pia sijui huwa anaimba nini hata.

Ni miongoni mwa wale wanaolazimisha fani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…