Ingia youtube search jina Mussa Chesa ana page yake na picha utapata simulizi alizofanya channel zote kuanzia cloud fm, RFA, davistar mata mikasa, promover TV. Ndie aliyepiga lile tukio la ubungo mataa akiwa kashika smg pia kaeleza matukio yote ya ujambazi aliyofanya ndie aliyemuua Mzungu kahama. Ili asikamatwe kwenye ujambazi akaingia kwenye uchawi akafanya vizuri sana hadi kupewa kitengo cha kusimamia misukule nchini kafanya biashara nyingi Sana za misukule na wachungaji wengi sana, alimtoa mtoto wake kafara Ili awe msanii mkubwa Sana nchini alizidiwa nguvu na diamond na amewahi taka pigana studio na diamond baada ya kukuta diamond anatumia biti yake kuingiza nyimbo studio kabla diamond ajawa star. usanii ulikoma baada ya kukosea masharti ya mganga sababu alilewa akajisahau.
Alikuwa na kikosi tabora cha kuiba kwenye treni tabora Kigoma vijana wanaiba wanarejesha kwake hesabu. Amewasumbua Sana police Kigoma risasi zilikuwa hazipenyi, kaua watu wengi sana kwa uchawi pia kwa bunduki, ameteka mabasi na magari mengi Sana Kigoma,tabora, kahama,nk.
Musa Chesa mzaliwa wa kazuramimba kigoma alijulikana kwa ujambazi kote kigoma,tabora,burundi, kahama,nk.Akiwa kwenye mambo ya kichawi alipigwa nguvu moja hatari shetani akamtoroka na hakumsaidia aliponea kwa watumishi wa Mungu akaacha uchawi akachoma moto zana zote za kichawi picha zipo alipokuwa akizichoma, akasalimisha bunduki police ambao nao awakuamini ikabidi apelekwe hadi kwa Mkuu wa Mkoa Kigoma akawahakikisha ametubu na ameacha vyote na akawa mstari wa mbele kuwakamatisha majambazi kwa police na pia ndipo hata wizi kwenye treni tabora ukatoweka.
Leo ni mtumishi wa Mungu anamuhubiri Kristo huku akitoa Siri zote za mambo ya giza na ameapa kupambana na shetani kwa mda wake wote uliobaki dunia. Anajutia Sana kwani na linamumiza Sana kupoteza watoto wake watatu kichawi Ili afanikiwe kwenye muziki, ujambazi, nk.
Ana mengi Sana muhimu sikiliza shuhuda zake yupo huru kutoa huduma na kujibu maswali yote. 0758238524 wasap pia.
Ye ndie aliyepiga tukio la ubungo mataa kalieza na hadi alivyofukuzana na police mitaa mbalimbali na kuwatoroka.
Amecheza movie matukio yake.Ametoa kitabu,ameonyesha kwa picha alipomua Mwenyekiti wa kijiji,alipotekea magari, alipokuwa akioshea misukule,nk.