Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

Naona jamaa yako kahojiwa na millard ayo
 
Jitahidi sana na wewe kuwasaidia mtoto mmoja wapo wa Marehemu Michael. In this life, never forget those who once helped you when you were in need..
 
Sterling wa wizi ule bado yupo anapatikana ila hatua za kuanza kuchechemea miguu zishafika

anapatikana sana bar Moja maarufu mercury ukitokea magomeni usalama upande wa kulia kabla hujafika mercury bar ...jioni utamkuta pale anatia huruma na mkewake pale...jamaa Moja white hivi ....ukimwona tu UNAJUA huyu alikuwa mtu wa kazi
 
mada inahusu pesa za Nmb zilizokuwa zinaenda Wami Dakawa Morogoro,hill ma NBC ni lingine.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…