leiguanan
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 618
- 1,904
Aigoo, [emoji106][emoji106]Inawezekana zilikuwepo kipindi changu ila huenda sikuzipitia maana sikuwa wa kisasa kiasi hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aigoo, [emoji106][emoji106]Inawezekana zilikuwepo kipindi changu ila huenda sikuzipitia maana sikuwa wa kisasa kiasi hicho
1986 tulichana London look alafu unaitupia shanga za plastic juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utoto rahaAfadhali DH mkuu msure alinipeleka sukari la BORA kununua raba flani tuliziita ngalawa. Kwakweli niligoma vibaya sana
Kweli auntie wa kwangu Mimi wa kufikia[emoji7] [emoji7]Nilisema mimi ni auntie
Wapendeza by Sammy Kasule
Source: Dekula2
Ndio kilichonifanya niwe nazichukia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kirefu cha DH eti walikuwa wanasema dingi hana uwezo [emoji38] [emoji38]
Mh humu JF humu binafsi naweza kuwa nachati na bibi zangu aisee.1986 tulichana London look alafu unaitupia shanga za plastic juu
Ashers au Rays ukipaka unang'aa kama masai usoni ila miguu inavuta vumbi kama umetoka tifua boda la mpungaTulianza kuona deodorant za Fa madukani na mafuta ya Vaseline. Kabla ya hapo tulitumia mafuta ya Asher's yalitengenezwa Tanga
Haya nlitumia enzi zangu yalikuwa na rangi njano,nyekundu na kijani...Yah kulikuwa na Rays yalikuwa yananukia flani hivi