Tukumbushane tulikotoka

Tukumbushane tulikotoka

Mkuu hakuna website ambapo naweza kupata audio za hizi mambo.. Please mkuu fanya kutupia link hapa.. Ntakushukuru sana..!

Mkuu,
Mjaribu huyu DJ ''legend'' Luke Joe Mtanzania ambaye kwa sasa ameweka makazi yake Marekani utapata ''miziki isiyokufa kufuatana na wakati'' katika website yake hii hapa chini kila wiki anapakua ''hazina'' ya nyimbo toka archive ya playlist yake ''kongwe isiyozeeka'' toka Enzi aliyokuwa pamoja na ma-DJ maarufu watajika wa mji wa Dar-es-Salaam, Tanzania :

Gonga hapa : DJ LUKE IN THE MIX on Vimeo Vimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no ads

 
Dawa ya jiko.
Au Mkubwa wa JIKO
Daaaaah,zamani.
Zama hizo ujue mnakula kwenye sahani moja hakuna viplates.
_20170701_104734.JPG
 
Ninakumbuka vitu kama Colgate, clear tone, mum deodorant tulilwtewa kwa mchoro mchoro na walimu waliokuwa wanafundisha mpakani mwa Kenya Horohoro mwisho wa mwezi wakina kuchukua mshahara wanakuja na khanga za Kenya pia
 
Na ukiwa sana khanga za Kenya askari wa uhujumu uchumi wamakuja kukuhoji na kusearch nyumba, mzee Mwinyi alitubadilisha ghafla
 
Daah enzi watoto wakike tulikua tunawaita. "Kishtobe" "Kidenishi"
 
Back
Top Bottom