Tukumbushane tulikotoka

Tukumbushane tulikotoka

Yale madisco ya shule wavulana wote waliingia wana ukiwa One Man Show, ninadhani ilipitishwa bwenini kabla ya safari
 
Na suruali za mchele mchele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Wewe una kumbukumbu sana
 
Mwaka 1985 wakati wa transition of power kutoka kwa Rais Nyerere kwenda kwa Rais Mwinyi, wengi hasa wazee wakiwaza Tanzania bila Nyerere inawezekana?

Tulianza kuona plastic shoes madukani, enzi zile ziliitwa Yondo Sister, saa za battery ziliingia, khanga za Mombasa zikauzwa madukani si tena kwa mchoro mchoro.

Ninakumbuka yellow fashion, ualikwe kwenye party umepiga yellow shoes kichwani una yellow hair band kama Madonna kila mvulana anataka kucheza na wewe.

Unakumbuka nini?
Shikamaoo bibi
 
Enzi hizo... Viatu vya shule ni Njumu tunavaa watoto wa kisure tuu!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sijui na watoto wa miaka hii watakuaga wanakumbushia nini sasa miaka kadhaa ijayo,,,,hasa kwenye mavazi...Sijui watakuaga wanakumbuka modo,skin tyt,bikini,boxers/pents zao izi za kisasa..!!

Sijui pia nao watakuaga WAHENGA hapo baadae afu na watoto wao wawe wanasema "Wahenga walisema"....!!!

Najaribu tu kujiulza haya maswali na kuimagine lakini sipati majibu na picha nzima itakavokuaga miaka iyo ijayo.....

Time will come and tell you.
 
Back
Top Bottom