Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 1985 wakati wa transition of power kutoka kwa Rais Nyerere kwenda kwa Rais Mwinyi, wengi hasa wazee wakiwaza Tanzania bila Nyerere inawezekana?
Tulianza kuona plastic shoes madukani, enzi zile ziliitwa Yondo Sister, saa za battery ziliingia, khanga za Mombasa zikauzwa madukani si tena kwa mchoro mchoro.
Ninakumbuka yellow fashion, ualikwe kwenye party umepiga yellow shoes kichwani una yellow hair band kama Madonna kila mvulana anataka kucheza na wewe.
Unakumbuka nini?
Sisi boarding tulikuwa watoto wa Dar tulijulikana kwa nyodo lakini enzi za mchacho tulikuwa wanyonge ukipata pafu la shanti asubuhi unapigaumenikumbusha kwenda sinema kuangalia picha za kihindi na kuimba uongo kama wao daah enzi zile
unavaa chacha na soksi unakwenda shule
huku umepaka mafuta ya shanti kutoka Kenya yanachafuaje ukivaa sketi nyeupe
huku umebeba kidumu chako na fagio unawahi namba shule
siku hizi hakuna mchakamchaka wala kuwahi namba
[emoji38] [emoji38] kama we wa 95 yaani we mwanangu wa kumzaa kabisaHiyo miaka kumbe ulikwepo..Nilikuwa najua wewe ni wa 95 mwenzangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah chachacha. Zilikuwepo za njano piaKulikuwa na chacha chacha za plastic rangi ya brown kutoka Kenya ndiyo.
Mwisho saa sita...saa nane utanikoma [emoji38] [emoji38]Kuna viatu vyeus vya plastic tulikuwa tunaita saa 7 utanikoma saa 8 utanivua.
Then soks za pundamilia
Asiwatishe mengine amesimuliwa huyo [emoji38] [emoji38]Halafu siku zote mi nilikuwa na image ya kijisister duu cha 90s maana mambo yake bado yako kwa wakati huu wa vijana.
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha yale mafuta ukivaa siku mbili sketi nyeusiiumenikumbusha kwenda sinema kuangalia picha za kihindi na kuimba uongo kama wao daah enzi zile
unavaa chacha na soksi unakwenda shule
huku umepaka mafuta ya shanti kutoka Kenya yanachafuaje ukivaa sketi nyeupe
huku umebeba kidumu chako na fagio unawahi namba shule
siku hizi hakuna mchakamchaka wala kuwahi namba
Nyie watoto wa jana hamkuwepo, tuacheni wazee.wahenga wengi hawatakuja humu
kila mtu atajifanya hakuepo
hahahahha, ila utu uzima dawa mnafaa sana nyieBasi mkinitumia PM za mtongozo mjue zinakwenda kwa nani
hahahaNyie watoto wa jana hamkuwepo, tuacheni wazee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho saa sita...saa nane utanikoma [emoji38] [emoji38]
Tumetoka mbaliiiiii kha!Mwaka 1985 wakati wa transition of power kutoka kwa Rais Nyerere kwenda kwa Rais Mwinyi, wengi hasa wazee wakiwaza Tanzania bila Nyerere inawezekana?
Tulianza kuona plastic shoes madukani, enzi zile ziliitwa Yondo Sister, saa za battery ziliingia, khanga za Mombasa zikauzwa madukani si tena kwa mchoro mchoro.
Ninakumbuka yellow fashion, ualikwe kwenye party umepiga yellow shoes kichwani una yellow hair band kama Madonna kila mvulana anataka kucheza na wewe.
Unakumbuka nini?
[emoji23]wahenga wengi hawatakuja humu
kila mtu atajifanya hakuepo