Tukumbushane tulikotoka

Mkuu hakuna website ambapo naweza kupata audio za hizi mambo.. Please mkuu fanya kutupia link hapa.. Ntakushukuru sana..!

Mkuu,
Mjaribu huyu DJ ''legend'' Luke Joe Mtanzania ambaye kwa sasa ameweka makazi yake Marekani utapata ''miziki isiyokufa kufuatana na wakati'' katika website yake hii hapa chini kila wiki anapakua ''hazina'' ya nyimbo toka archive ya playlist yake ''kongwe isiyozeeka'' toka Enzi aliyokuwa pamoja na ma-DJ maarufu watajika wa mji wa Dar-es-Salaam, Tanzania :

Gonga hapa : DJ LUKE IN THE MIX on Vimeo Vimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no ads

 
Tulianza kuona deodorant za Fa madukani na mafuta ya Vaseline. Kabla ya hapo tulitumia mafuta ya Asher's yalitengenezwa Tanga
Dah.. Umenikuna sana.... Nitwangie kwenye tritel 08116425231[emoji12] [emoji12]
 
Ninakumbuka vitu kama Colgate, clear tone, mum deodorant tulilwtewa kwa mchoro mchoro na walimu waliokuwa wanafundisha mpakani mwa Kenya Horohoro mwisho wa mwezi wakina kuchukua mshahara wanakuja na khanga za Kenya pia
 
Na ukiwa sana khanga za Kenya askari wa uhujumu uchumi wamakuja kukuhoji na kusearch nyumba, mzee Mwinyi alitubadilisha ghafla
 
Daah enzi watoto wakike tulikua tunawaita. "Kishtobe" "Kidenishi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…