Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Home ilikuwa bila kuoga huli....imagine na baridi la Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahahahahahahahaahahah pole sanaNimekulia Lugalo ndani. Dad NI mjeda mstaafu kwa sasa. Nilipewa amri nikitoka shuleni SAA saba hakuna kwenda kutembea. Kazi NI kufungulia vifaranga vya kuku na bata na kuanza kuvichunga kunguru wasivichukue. Kikichukuliwa kifarana kazi NI kumfukuza kunguru kwa mawe mpaka nimnyang'anye hata kama kimekufa. Nakwenda kukilaza bandani. Akivihesabu vikipungua anaangalia bandani akikikuta kimekufa anakwambia KATOE KIFARANGA KIMEFIA BANDANI. akiambiwa kilichukuliwa na kunguru, viboko vya kulala mezani. Nampenda BABA yangu kwani alinifundisha kutokuwa mzururaji kama mwanafunzi wa mbeya
Ha ha ha ha ha ha bro umenivunja mbavu huku umenikumbusha mbali sanaebhana mi mzee wangu miaka hyo kitambo alikua amenunua ile deki ya mikanda vhs, sasa ikawa kila akimaliza kuangalia mkanda wake wa dame bs anairudisha chumbn,
Sasa kuna sku akaisahau sebleni na kwenda zake kazin.
Ikabid nisiende shule ili tu nitumie oppotunity hyo kuchek mkanda na mim,
Nkachuku mkanda nkaingiza kweny deki, bwana wee kumbe nlikua nimeugeuza bs ukawa umegoma kutoka!
Daah mpka saa tisa mzee karudi akakuta ile inshu afu mi nkawa nimesepa...! staki kukumbuka kile kichapo ila nakumbuka nlilala nje sku ile.
Du kwanza pole 3Month? [emoji2] [emoji16] [emoji16]Aiseee nakumbuka mshua alikuwa zaidi ya mkoloni, nina dogo langu lilikuwa linapenda kujisaidia kwenye uzio kisa choo kipo mbali, siku ya siku mzee akamfuma alikula stick za kufa mtu na akamlazimisha kula mavi yake toka siku hiyo aliona choo kipo karibu ata kama ni night.
Mimi mwenyewe alileta stand mpya ya tv hizi za kichina sasa muda asiokuwepo uwa tunatoa tv tukalia juu mwingine anakusuma inakuwa kama starehe fulani hivi kwa ilikuwa na maraisi, sasa mwisho wa siku. nikiwa juu naendeshwa huku narukaruka ikavunjika, mzee aliporudi kauliza kila mtu kimya, akatuita chumbani alizungusha waya nne nne kwa kila mtu wenzangu uvumilivu ukawashinda wakanitaja, aiseee nilipigwa sijapata ona hadi leo alama ipo. Baada ya kipigo ikawa kila ikifika kipindi cha taarifa ananiita nashikilia tv kichwani mpaka amalize kuangalia taarifa ndio natua, it takes almost 3months ndio akaleta stand nyingine
Heee! Huyo kiboko aiseDaah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Mimi mpaka leo mzee nikimtembelea huwa tv inawashwa for taarifa tu. Halafu kuna baiskeli alitukataza kuitumia (hata kujifunza) lakini alikuja kushangaa pale mtaani mimi na dogo tu ndio tunajua kuendesha baiskeli.......Mzee wangu alikuwa na tabia ya kuzima TV kwa remote, halafu anamalizia na ile button ya kwenye TV na kuingia na remote chumbani hivyo TV haiwaki mpaka utumie remote kuiwasha.
Kwa utundu wangu nikabuni mbinu. Nilikuwa naminya ile "button" ya kwenye TV, then na-"press" na ku-"hold" button za kuongeza sauti na kubadilishia channel kwa pamoja na TV inawaka bila kutumia remote.
Nikimaliza kuangalia naweka auto switch off, namalizia na button ya TV halafu huyooo nakwenda zangu.
Ila Kuna siku alirudi kazini, akaigusa TV akakuta ya moto dah kipigo alichonipa sitaki kukikumbuka.
ebhana mi mzee wangu miaka hyo kitambo alikua amenunua ile deki ya mikanda vhs, sasa ikawa kila akimaliza kuangalia mkanda wake wa dame bs anairudisha chumbn,
Sasa kuna sku akaisahau sebleni na kwenda zake kazin.
Ikabid nisiende shule ili tu nitumie oppotunity hyo kuchek mkanda na mim,
Nkachuku mkanda nkaingiza kweny deki, bwana wee kumbe nlikua nimeugeuza bs ukawa umegoma kutoka!
Daah mpka saa tisa mzee karudi akakuta ile inshu afu mi nkawa nimesepa...! staki kukumbuka kile kichapo ila nakumbuka nlilala nje sku ile.
Acha tu mkuu, sema kwa kiasi fulani walichangia tuwe na nidhamu na kutuwezesha kujiweka mbali na baadhi ya mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine yangeathiri uwezo wetu wa kitaaluma kwa kipindi hicho.Daaah hawa wazee hawa. RIP my daddy
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tena kiboko,kiboko kweli sio yule wa mchezo mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Heee! Huyo kiboko aise
Sasa hivi tumekuwa vijana na yeye amezeeka hivyo sheria zimepungua ingawa bado huwa anakasirika kama akiwakuta mnaangalia miziki. Kwa kifupi mzee ni mtu wa dini sana.Mimi mpaka leo mzee nikimtembelea huwa tv inawashwa for taarifa tu. Halafu kuna baiskeli alitukataza kuitumia (hata kujifunza) lakini alikuja kushangaa pale mtaani mimi na dogo tu ndio tunajua kuendesha baiskeli.......
Ila siyo ukoloni
mnapewa kichapo chawarning,daaa nimecheka mpaka basiDaah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]