Tukumbushane ukoloni uliowahi fanyiwa na wazee wako

Mimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile mbaya

Ebu tukumbushane ukoloni wa hawa wazee wetu wa zaman
[emoji23][emoji23][emoji23] tukiwa shule ya msingi, alikuwa akitoka kuangalia mechi ya simba na Yanga, halafu Yanga ikitoka imefungwa hasira zote zinaishia kwetu asee. Bi mkubwa alikuwa akijua tu simba na Yanga zinacheza alikuwa anatuwahisha kulala
 
Ni story nilipewa na jamaa yangu
Ilikuwa siku ya jumamosi wanakwenda kukogesha mbwa mbele ukapita msafara wa mwenye kitI wa mkoa wa chama kwa miaka hiyo chama kimeshika hatamu kweli kweli mambo ya utoto kuwinda ndege na nini basi jiwe likatua penye kioo cha 109 ya chama vijana wakatoka mbio wakajaribu kuwafukuza bila mafanikio ila wakawajua ni watoto wa nani mbaya zaidi baba yao alikuwa na cheo katika chama eneo hilo.
Jioni wapo nyumbani mzee katokea na kuanza kutoa kichapo anahadithia "tulipigwa nyinyi tulipigwa! yaani tulipigwa! mpaka leo huwa nahisi labda yule jamaa sio dingi yetu.
 
Daah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
ahahahahaha noma sana
 
Hamna kunywa chai bila kuoga
Sa kumi na mbili geti limefungwa...
Alileta ukoloni zaidi pale alipoanza kukusanya simu zetu sa mbili usiku na kuzizima mpaka asubuhi anapoenda kazini.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hawa wazee bhana kukusanya simu tena
 
Mzee wangu alikuwa na tabia ya kuzima TV kwa remote, halafu anamalizia na ile button ya kwenye TV na kuingia na remote chumbani hivyo TV haiwaki mpaka utumie remote kuiwasha.
Kwa utundu wangu nikabuni mbinu. Nilikuwa naminya ile "button" ya kwenye TV, then na-"press" na ku-"hold" button za kuongeza sauti na kubadilishia channel kwa pamoja na TV inawaka bila kutumia remote.
Nikimaliza kuangalia naweka auto switch off, namalizia na button ya TV halafu huyooo nakwenda zangu.
Ila Kuna siku alirudi kazini, akaigusa TV akakuta ya moto dah kipigo alichonipa sitaki kukikumbuka.
duh nimecheka saaanaaaa!!!!!
 
Wangu mimi ilikuwa mkimaliza kula hakuna kunawa mikono lazima usubiri kwanza yeye amalize kunawa ndio na nyie mnawe.Ilikuwa inaniboa sana hii kitu,ukikuta chakula ni ugali utakomaa akili maana mpaka mkono haukunjuki jinsi ulivyo ganda.
 
Umenikumbusha mbali.... Mzee alikuwa anaulizia Kama mifugo imekula hata Kama nyie mtalala njaa shauri yenu.
umenikumbusha mzee alikua anatwambia kama cc tunavyokula mara tatu ma mifugo ilishw hivyo.kwa hyo akija akakuta haina chakula lazima kiwlewek tu
 
Mkoloni alikuwa nuksi sana ukichelewa kufungulia kuku muda wa jioni, kuna siku alinifata kituo cha maji akanikata flying kick ya maana kabla hajanchapa makofi mazito mazito. anapotoka kilabuni lazima apitie shambani kuangalia kama mumemwagilia miti ya ulanzi
R.I.P Jemedari/mkoloni/Joslin/Mshua
 
Mzee wangu alikuwa na tabia ya kuzima TV kwa remote, halafu anamalizia na ile button ya kwenye TV na kuingia na remote chumbani hivyo TV haiwaki mpaka utumie remote kuiwasha.
Kwa utundu wangu nikabuni mbinu. Nilikuwa naminya ile "button" ya kwenye TV, then na-"press" na ku-"hold" button za kuongeza sauti na kubadilishia channel kwa pamoja na TV inawaka bila kutumia remote.
Nikimaliza kuangalia naweka auto switch off, namalizia na button ya TV halafu huyooo nakwenda zangu.
Ila Kuna siku alirudi kazini, akaigusa TV akakuta ya moto dah kipigo alichonipa sitaki kukikumbuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu
 
Daah nakumbuka kipindi tukiwa wadogo mzee wetu alikua na tabia ya kutuchapa kila anunuapo bidhaa mpya na kuileta nyumbani.Mfano Nakumbuka siku moja alinunua chupa ya chai kabla hata haijaanza matumizi akatutia bakora huku akitusihi na kutukanya kuwa tukiichezea inaweza kupasuka,Basi ikawa kila akinunua kitu chochote akikileta nyumbani lazima tuchapwe!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo alikuwa zaidi ya mkoloni
 
Nakumbuka siku ya ckukuu nipo na madogo tushapanga kwenda zetu swimming na wana mtaani tushavaa tunaaga tu ili tupewe pocket money Mzee akasema haya chukua madaftari mezani kusoma hamna kutoka..dah full Kuchek tukamvizia kalala tukatoroka,kwenda swimming tukakutana na janga mtu kazama kafia ndani ya kina na aliyegundua ni mdgo wangu bas ikabidi aende peleka maelezo kituoni.daah na tulitoroka..kurudi tumekuja chukuliwa kituoni nyumbani tulichapwa na mbao sio fimbo [emoji23][emoji23][emoji23]..ukoloni kweli yan ckukuu mchana usome kitaingia kweli.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nimekulia Lugalo ndani. Dad NI mjeda mstaafu kwa sasa. Nilipewa amri nikitoka shuleni SAA saba hakuna kwenda kutembea. Kazi NI kufungulia vifaranga vya kuku na bata na kuanza kuvichunga kunguru wasivichukue. Kikichukuliwa kifarana kazi NI kumfukuza kunguru kwa mawe mpaka nimnyang'anye hata kama kimekufa. Nakwenda kukilaza bandani. Akivihesabu vikipungua anaangalia bandani akikikuta kimekufa anakwambia KATOE KIFARANGA KIMEFIA BANDANI. akiambiwa kilichukuliwa na kunguru, viboko vya kulala mezani. Nampenda BABA yangu kwani alinifundisha kutokuwa mzururaji kama mwanafunzi wa mbeya
 
Daaa vimbwanga vya wazee wangu vingi xn ,,mojawapo anakununulia nguo over size lengo usimsumbue eti unakuwa nazo ,unajkuta upo class 3 lakini shati adi magotini ka kanzu ,kaputula adi kwenye visigino ,,pia bibi yangu anakzingua hapiki ka hujafanya anavotaka na akienda ulabuni kwenye kindoo chenye unga anachora lipicha lolote ju ya unga complex ili ukchota unga upke lazima aje atambue so nilkuwa nachora pembeni lipicha lake nachota unga then naichora tena picha ju ya unga
 
Hyo ya kuchora unga duuu nimenyoosha mikono juu
 
Back
Top Bottom