QUEENITOR
Member
- Mar 14, 2014
- 32
- 14
[emoji23][emoji23][emoji23] tukiwa shule ya msingi, alikuwa akitoka kuangalia mechi ya simba na Yanga, halafu Yanga ikitoka imefungwa hasira zote zinaishia kwetu asee. Bi mkubwa alikuwa akijua tu simba na Yanga zinacheza alikuwa anatuwahisha kulalaMimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile mbaya
Ebu tukumbushane ukoloni wa hawa wazee wetu wa zaman