Tukumbushane ukoloni uliowahi fanyiwa na wazee wako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhahhhahaha Jamaaani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee wetu alitufundisha kuendesha gari bado tukiwa shuleni.Lakini yeye akiweka mafuta kwenye gari akirudi nyumbani lazima ayatoe na kuyafungia store....ukitaka gari nunua mafuta yako na ole wako uishiwe na mafuta njiani
 
Jamaani Jf raha sana
 
Halafu ikusaidie nini?
 
Mzee wangu nakumbuka alikuwa anawahi kwenda shamba saa11 alfajili na kabla hajaondoka anatuamsha watoto wake , ilikuwa ikifika saa12asubuhi anarudi kuona nani hajaamka na alikuwa ana tabia ya kutumwagia maji pamoja na Yale magodoro tuliyolalia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu dingi yako alikuwa noma sana.
Kwahiyo uligeuka stand ya TV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana kuna wazee wakoloni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu dingi yako alikuwa noma sana.
Kwahiyo uligeuka stand ya TV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana kuna wazee wakoloni
Niligeuka stand kwa miezi mitatu alafu tv lilikuwa lizito balaa, ila nilikuja kuwa mtoto mwenye adabu kuliko wote pale sana nyumbani
 
🙂🙂🙂 mtaua watu mbavu
 
Mimi mpaka leo mzee nikimtembelea huwa tv inawashwa for taarifa tu. Halafu kuna baiskeli alitukataza kuitumia (hata kujifunza) lakini alikuja kushangaa pale mtaani mimi na dogo tu ndio tunajua kuendesha baiskeli.......

Ila siyo ukoloni
duu...hii hatari,kwa hiyo mzee akabaki anajiuliza mlikojifunzia
 
Matukio ya kikoloni ya Mzee wangu;
kwanza ilikuwa akirudi nyumbani usiku ile saa 3 au nne night akishatengewa chakula lazima niamshwe ati mi ndo mtoto mkubwa so ananiambia nisimame kijogoo (kwa mguu mmoja) mpaka amalize kula.

Pili, siku akiwa yupo nyumbani ilikuwa lazima 'nibebe dunia'. Yaani hapo ni dakika kama 10 hivi za kubeba miguu yake mabegani..
 
Nimesoma posts zote... wengine baba zao watoto tu, huyu wa kwako ndo baba sasa.

Shkamoo baba yako... Khaa!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh [emoji1] [emoji28] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…