Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Shoga angu wa faida huyoooo.Shost upo
Nani alikuficha?
Nipo mwaya nimejaa tele....nakomaa na wanaume wa Dar, wanaume bahili kuwahi kutokea juu ya uso wa dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shoga angu wa faida huyoooo.Shost upo
Lol, kwenye umati lazima utoke manundu hakuna namna.Shule kuna jamaa alikuwa inasadikika anawatigo watu usiku wakilala. Sasa fununu zilizagaa kwa kila mtu ila wa kuthibitisha hakwepo.
Siku moja jamaa akajichanganya akamtigo dogo wa form one dogo akasikia wakati jamaa anamalizia. Dogo alipiga kelele raia wakajaa wakaanza kumpiga jamaa. Daah jamaa alichezea balaa nusu afe. Toka siku hiyo kumgusa mtu kwenye umati siwezi
Ila raha ya kuanzisha mtiti uwe na nguvu.[emoji3][emoji3] pole aseeeh
Sio nguvu tu na tactics. Unaweza kuwa na nguvu ila ukila moja unapoteana...Ila raha ya kuanzisha mtiti uwe na nguvu.
Unamthaminisha kwanza mpinzani wako....afu unatambaa nae kiunaa.
Au Daudi na Goliathi.Sio nguvu tu na tactics. Unaweza kuwa na nguvu ila ukila moja unapoteana...
Wewe siunaona kwenye WWE tu great kali alivyokuwa anamkalisha bigshow na limwili lake lote
Hahaaaaa umenikumbusha mwaka 2013 niko na Demu fulani hivii maeneo ya relini saa mbili unusu!
Niko namtomasa mtoto Zubedaa mara kaka yake akatingaa huyoo aisee nikapagawa, Jamaa akataka afosi anijue mm ni nani Demu akamkazia hataki animulike na tochi Huku na huku mara wakavaana wakaanza kutembezeana mkono wao kwa wao..
Muda wotee huo nimekaa sijui hata nifanyaje, nilishindwa kuamua wala kuingila huku moyoni najisemea ugonvi wa ndugu sipaswii kushirikii, dem naona anambinua kaka yake mara anabinuliwa na kakaka yake hadi akabaki taiti tupuuu..
Akili ikanijia nikatoka mbio nikaenda kuita watu wakaja kuamua, Alipotoka Akaja akanikumbatia akaniambia -Mond- wangu achana na hili lipuuzi Nakupenda sana huku ananinywesha juisi mbele za watu..
Toka siku hiyo nilijiona mm ni NYUMBU HASWAA huyu kama ningemuoa ningekua nimepata bodigadi wa maana..
Duuuh I miss you Zubee wangu bin cheupe
Madame B inaonekana wewe mtataa balaaa aseeh. Ndiyo wale mkianzisha vagi hadi field force watue au mtaa unasimama kwa muda [emoji23][emoji23]Au Daudi na Goliathi.
Nakumbuka nilikuwa Kariakoo mwaka mmoja, dunga dunga akataka kunigeuza kitoweo....mbona nilitaka kuondoka na dhakari zake.
Afu katikati ya soko
huyo alijiharibua mwenyewe kwa kuandika jina mwishoni.[emoji3][emoji3]
Jirani, kwa hiyo ukamharibia binamu yako tongozo lake...
BTW, ungeliendeleza na huyo mkaka maana umati ulishajua unadate naye
Unajua kuna baadhi ya wanaume wanadhani wanawake wote ni maboya.Madame B inaonekana wewe mtataa balaaa aseeh. Ndiyo wale mkianzisha vagi hadi field force watue au mtaa unasimama kwa muda [emoji23][emoji23]
Weweeee mbona hujanihadithia..Unajua kuna baadhi ya wanaume wanadhani wanawake wote ni maboya.
Mie sipendi dharau....
Yaani mie ukinichokoza jua nikitibiwa na kupona,
lazima nikutafute tuanze A.
Niliwahi pigwa stop Masai club, Waungwana bar na pale Igo Sinza....cheza vizuri, ukinibambia tu, kiboya nina wewe.
Hawanaga huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] hao watu hawafai mkuu.
Kwa wale wanaojua racing za motor cycle kuna siku jamaa zangu fulani walitutoroka wa kaenda hadi TMA na 250. Sasa wakajichanganya wakaingilia mule ndani kwa njia za panya.
Wakakamatwa pikipiki zikatolewa upepo halafu kila mmoja akaambiwa abebe yake walibaki kuzivuta tu. Toka saa 7 mchana wakaja kuachiwa saa 4 usiku
![]()
Wewe si ulikimbia wasapWeweeee mbona hujanihadithia..
Hua situmii hiyo kitu labuda pm na SmsWewe si ulikimbia wasap
okHua situmii hiyo kitu labuda pm na Sms