Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Nakumbuka tamthilia ya La mujer de lorenzo, ITV. Kale kawimbo kake kalikuwa katamu sana. Mpaka leo bado nakasikiliza.
 
Vunja mbavu na dtv.....daaah hapa ndo mzee majuto alipotunukiwa u king wa comedy
 
Dah ring rent umenikimbuka nipo primary na frnd zangu dah way back
 
Kuna kipindi itv walikua wanaonesha series ya kisayansi (sci fi) inaitwa EARTH FINAL CONFLICT ya aliens wanaoitwa taelons aka companions walikuja duniani wakiwa na teknolojia ya hali ya juu katika nishati, usafiri na utibabu. Walitoa bure huduma hizo kwa nia safi, ila kukawa na upinzani wa dhidi yao ukihoji hasa nia ya hao taelons kwa dunia.

Ilikua series nzuri, ya kufikirisha bahati mbaya itv waliikatisha kabla ya kufikia mwisho....

Wasioikumbuka nii hii hapo

 
...Kulikuwa na vichekesho vya suburban blis.
...tangazo la matairi ya michelin
 
Huyu hawezi toka aisee system ya china imeishampoteza kule hawacheki na nyani mkuu
Ila kule alipokamatiwa hakuna sheria kali kama hongkong au majimbo mengine,anaeza akachukua miaka 8-10
 
Vipindi hivyo vingine ni vya uchochezi kwa vijana wetu...hatuvitaki virudi.tuwekewe vipindi vya kilimo vya kufuga...vya PowerTilla zinavyolima na hotuba za rais.
Kama vipindi gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…