DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,011
- 3,471
Daaaaaaaah asante sana mkuu nilimis sana kuwaona hawa jamaa wote wawili kama zipo zingine ongeza mkuu
Hahahahhaha kwa nin[emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaaaaah asante sana mkuu nilimis sana kuwaona hawa jamaa wote wawili kama zipo zingine ongeza mkuu
Hahah mimekupata mkuu naona life linabadirika snJengua yupo mkuu ameludi tena kwenye hizi bongo movie kuna siku nilimbahatisha nilikua kwenye basi naenda moro waliweka movie yake mi huwa sio mpenzi wa bongo movie sana kwasababu utakuta mtu anawaza miaka kumi iliyopita alafu unakuta picha ya magufuli ukutani kama rais
Aisee mkuu yani hii movie nilikuwa naipenda sana mkuu yani huyo Dada alivyokuwa anamsaidia huyo bro nilikuwa napenda sana sana mkuu
Hivi jimmy Kabwe yupo kweli?Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
umeisahau TvT ilikua tz ya kidwanzi kwel kweli na yule mjaamaa amevaa ngozi ya chui anapliza pembe la ng'ombe wakati wa taarifa ya habari daah tv ya kishamba ile we acha tu....Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Mwisho alikuwa anatabasamuKifuatacho ITV, yule dada muhindi ndo alikuwa anasema kifuatacho ITV na kutoa muhtasari kidogo kama ni tamthilia, nakumbuka tamthilia ya Acapulco, na moja ilikuwa kali sana nimesahau jina ila ina neno beach!
Yes pasco enzi hizo anawika sana
mi nakumbuka enzi hizo itv tamasha la michezo jumapili halafu ...kifuatacho itv...masumbwiWana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Hahah mkuu TV ya Taifa nilikuwa lazima waiweke vilee afuu ivi kwani TvT ilianza mwaka ganiumeisahau TvT ilikua tz ya kidwanzi kwel kweli na yule mjaamaa amevaa ngozi ya chui anapliza pembe la ng'ombe wakati wa taarifa ya habari daah tv ya kishamba ile we acha tu....