Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Jengua yupo mkuu ameludi tena kwenye hizi bongo movie kuna siku nilimbahatisha nilikua kwenye basi naenda moro waliweka movie yake mi huwa sio mpenzi wa bongo movie sana kwasababu utakuta mtu anawaza miaka kumi iliyopita alafu unakuta picha ya magufuli ukutani kama rais
Hahah mimekupata mkuu naona life linabadirika sn
 
Hahahahhaha kwa nin[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee mkuu yani hii movie nilikuwa naipenda sana mkuu yani huyo Dada alivyokuwa anamsaidia huyo bro nilikuwa napenda sana sana mkuu
 
Yeah kweli kabisaa mimi niliwahi kudownload film zake karibu tano hivi
fafe14f1556e2f124295f746be2c795a.jpg
00849b3eb126c907f710ed19c49258f2.jpg
57edbcc9a26dfba6955c0b3b73f4ab6e.jpg
 
Daaahhh Acapulco Bay ,namkumbuka sana Tajiri Tony alivyopatashida kumpata mtoto Rachel na Max alivyokuwa katili, na cha pombe Baba yake na Rachel...
 
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.

Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Hivi jimmy Kabwe yupo kweli?
 
umeisahau TvT ilikua tz ya kidwanzi kwel kweli na yule mjaamaa amevaa ngozi ya chui anapliza pembe la ng'ombe wakati wa taarifa ya habari daah tv ya kishamba ile we acha tu....
 
tamthiliya ya passion ilikua inaonyweshwa itv km sikosei mnaikumbuka?
 
Kifuatacho ITV, yule dada muhindi ndo alikuwa anasema kifuatacho ITV na kutoa muhtasari kidogo kama ni tamthilia, nakumbuka tamthilia ya Acapulco, na moja ilikuwa kali sana nimesahau jina ila ina neno beach!
Mwisho alikuwa anatabasamu
 
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.

Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
mi nakumbuka enzi hizo itv tamasha la michezo jumapili halafu ...kifuatacho itv...masumbwi
 
umeisahau TvT ilikua tz ya kidwanzi kwel kweli na yule mjaamaa amevaa ngozi ya chui anapliza pembe la ng'ombe wakati wa taarifa ya habari daah tv ya kishamba ile we acha tu....
Hahah mkuu TV ya Taifa nilikuwa lazima waiweke vilee afuu ivi kwani TvT ilianza mwaka gani
 
Back
Top Bottom