Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] ninyi watu!..
 
Reactions: MC7
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!
Tausi ndege wangu niliupenda sana wale waliigiza vizuri
 
bongoooo snowballllllll
 
Hii movie bana ilikuwa na ma character ambao wananyofoka ngozi ikivutwa tuu inatoka yotee then damu ya mwilini nilikuwa yakijani tuu. Aidha walipenda kuvaa nguo rangi nyekundu na kusafiri kwenda angani kwa mtambo kama sahani hivi. That's V
nimeipata ile movie kk itafte inaitwa Visitors (V franchise)
 
[emoji23] [emoji23] Utawajua tu Wakongwe ktk ubora wao... Watu adimu wako mbioni kutoweka... Hii ni hazina kubwa mkuu kuwa na watu kama ninyi for reference.... Tisha sanaa.
Hahaha mkuu hatutaki kizazi chetu kumbukumbu zake zipotee hivihivi. Hii ni hazina tofauti na miaka ya 90's mkuu. Mimi wa 80's ktkt humo hatuwezi kusahau uhondo wetu
Kwa mbaali hiyo kitu nadhani ilikuwa inaonyeshwa jmosi mchana kabla ya fukoto/radi kwenye 1999, dizain hizo pipo wengine walikuwa na ngozi kama ya chui hivi.. enzi ya marehemu Nasma khamis kidogo na mtu mzima hovyo on fireee!..
 
Kwa mbaali hiyo kitu nadhani ilikuwa inaonyeshwa jmosi mchana kabla ya fukoto/radi kwenye 1999, dizain hizo pipo wengine walikuwa na ngozi kama ya chui hivi.. enzi ya marehemu Nasma khamis kidogo na mtu mzima hovyo on fireee!..
Yes we jamaa unakumbukumbu sn enzi za fukutoo nimekumbuka zaidii
 
Yeees kabisa mkuu umemikumbusha Channel 10 movie ya Mr T na Knight Rider big up mkuu
 
Channel zetu CTN, DTV, ITV2, TVT , TVZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…