Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] ninyi watu!..Channel 10 kulikuwa na movie ya Mr T na Knight Rider (maarufu kama maiko, maiko - jamaa ana gari lake hilo lina fujo balaa) pia kulikuwana igizo la kutisha lilikuwa linaitwa Mmsai na Ng'ombe Wake
ITV kwanza picha linaanza matangazo yanafunguliwa saa 12 jioni hadi saa 6 usiku, walikuwa na vichekeaho vya Perfect Strangers pia kulikuwana movie ya TimeTrack, Pointman na kipindi cha Jackpot Bingoooo!!!
Dah kulikuwaga raha sana.